Kinachoiponza Kenya ni kuachia vyombo vya habari kuhubiri siasa kwa 95%

Kinachoiponza Kenya ni kuachia vyombo vya habari kuhubiri siasa kwa 95%

Crocodiletooth

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2012
Posts
23,234
Reaction score
28,473
Hilo ndilo kosa kubwa linalofanywa na uongozi wa Kenya siasa kwenye vyombo vyao vya habari ni Kwa 95%,vipindi vya kimaendeleo Kwa Kenya vinapatiwa 5% only,Tujifunze Kwa majirani, hakika mungu anaipenda sana tanzania yetu.

#Anatuletea mifano kwenye malongo yetu.
#Vyombo vya habari vinanguvu kubwa ya ushawishi Kwa jamii yoyote ulimwenguni, vyombo hivyo vinapotumika kulisha siasa chafu Kwa jamii, ndiyo tunayoyashuhudia kwa jirani zetu leo hii,vijana wamelishwa upumbavu waka shiba ujinga,badala ya kulishwa ujuzi,na jinsi ya kujitegemea.
 
Basi sawa, sisi tunafanya 90% michezo ya Ulaya 5% yanga na simba na wenzie halafu 5% ya uchawa promax, sisi ni mabingwa wakenya loosers
 
The main difference between kenya and tanzania is; Kenya belongs to Citizens whereas Tanzania belongs to Emperors.
Kenya,wenye nchi wana uwezo wa kuhoji na kupinga chochote wakati tanzania hawana huo uwezo maana wananchi hawana Nchi. ukihoji wenye nchi(Emperors) ni either wakuue ama wakuvunje Mguu ili iwe fundisho kwa mwingine anayetaka kuhoji mambo ya Nchi wakati hana nchi

Wenye nchi ya kenya wapo Up in Arms na Ruto hawezi kitu kwasababu ni nchi yao.
Ukijua huo utofauti huta leta mada ya namna hii.
 
Back
Top Bottom