Kinachoiponza Tanzania ni mashitaka dhidi ya mwana habari Erick Kabendera, ni kama marehemu Jamal Khashoggi (Mwanahabari)

Kabendela lazima asimame mbele ya sheria hamna namna nyingine ya kumuepusha na hilo. Propaganda zote mnazofanya ni bure.
 
Kabendela lazima asimame mbele ya sheria hamna namna nyingine ya kumuepusha na hilo. Propaganda zote mnazofanya ni bure.
Wewe ndiyo unafanya propaganda za kuwabambikia kesi wakosoaji wote wa utawala wenu
 
Kuichafua?...hahahahahahaaaaaa, ILISHAJICHAFUKIA TANGU ENZI MUACHIENI KIJANA WA WATU LI NCHI LI CHAFU KITAMBO TU.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Erick Kabendera alikuwa anatumiwa na USA pamoja na nchi za ulaya kwa manufaa yao. Hakuna raia yeyote wa USA au Ulaya ambaye ataikashifu nchi yake na kuichafua na kubaki salama. Kashoggi ameuwawa kwenye Ubalozi na Saudia kwa sababu ya mafuta hakuna lolote linalofanyika. Onea Buji! Tanzania haiwezi kuendeshwa kwa remote control kama mataifa mengine. Erick anavuna alichopanda vile vile alishaomba plea bargain mwache ayaoge maji aliyoyavulia nguo.

Watanzania wengi bado wana mengi ya kujifunza. Tanzania kama nchi itafanya inayohitaji kufanya kutokana na katiba ya nchi hii. Ule wakati wa kusafirisha Twiga na mali za nchi hii kwenye sandarusi umepitwa na wakati. Its not only JPM wapo Watanzania wengi nyuma yake.
 
Upuuzi w karne
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Waviongeze tu hivyo vikwazo maana kenge hasikii mpaka atoke damu.
Kenge ni kabendera na genge lake. Nakwataarifa msiyoijua kabendera mnamjua nyie! Ila wazungu hata hawajui km kuna m2 tanzania anaitwa kabendera! Anavuna alichopanda.
 
67% ya waafrica tuna raana !!! Hasa wa tz! Huwezi kumtetea mtu km kabendera, mtu kama T.Lisuu, namwingine ameanza kujihami zitooo eti anataka kufunguliwa kesi ya utakatishaji! Nasema sukuma ndani!! Ziito aneshaona tamati yke!! Walipiga hela acaciaa na Nsssf hayo yte tunajua! Mtavuna mlicho panda.
 
Mkuu

Vikwazo vikwazo.. Visikie Zimbabwe tuu... Narudia visike Zimbabwe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huo ndio upumbavu mlio nao. Mnachomtuhumu mitaani mbona sicho alichoshtakiwa nacho mahakamani?
Kutunga mashtaka ni dalili za udhaifu mkubwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Badala ya muendelee kupigania tume huru nyie mmekomaa na maigizo ya Marekani ambayo matokeo yake ni 0

Sent using Jamii Forums mobile app
Unataka wakipigania Tume basi kila kitu kisimame kisifanyike wala kuzungumzwa? Mambo yote yanafanyika pamoja tuu.
Shughuli pekee ambayo mengine yanasimama ni kujisaidia kichakani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…