Magonjwa Mtambuka
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 32,246
- 31,176
Mamako hajambo??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mamako hajambo??
Kabendela lazima asimame mbele ya sheria hamna namna nyingine ya kumuepusha na hilo. Propaganda zote mnazofanya ni bure.Na huo ndiyo ukweli wenyewe. Mwana habari Erick Kabendera nje ya Tanzania ni mwana habari mwenye nguvu na mwenye uzani sawa na kina Jamal Khashoggi. Hayo mengine yalitokea yakapita kimya bila madhara makubwa. Wapo waliotekwa, wapo waliopotea, wapo walionusurika kuuawa, wapo waliouawa na wapo walionyang'anywa uwekezaji wao wa jasho na damu kwenye huu utawala wa John Pombe Magufuli. Hayo yote yalipita huku yakiangaliwa kwa mbali kidogo na subira.
Serikali ilikuja kujichanganya sana kumkamata mwana habari Erick Kabendera ambaye ni mwana habari anayehabarisha nje ya mipaka ya Tanzania, mwana habari aliykeuwa anatoa ukweli wote wa yanayoendelea Tanzania huko nje. Walijichanganya sana kumkamata na kumfungulia mashitaka ya uonevu na kubambikia.
Kukamatwa kwa Erick Kabendera kumetibua majeraha yote na sasa Tanzania ilianza kuchunguzwa kwa umakini zaidi na ndipo yanakuja haya.Na kusema kweli tutayavaa na si kwa Marekani pekee bali mlolongo wote wa mataifa ya NATO.
Mwana habari Jamal Khashoggi ambaye aliuawa kikatili ndani ya ofisi za ubalozi kwa kile kinachoelezwa kuwa alikuwa akimvua nguo kwa kumuandika mwana mfalme wa Saudi Arabia, mauaji yake yalileta sintofahamu kubwa duniani na kupelekea utawala wa Saudi Arabia kukosa imani kwa Marekani. Basi huyu Kabendera ni level zile zile za kina marehemu Khashoggi. Naamini kwa wale wanaoenda mahakamani kushuhidia kesi ya Kabendera na kuona wafuatiliaji wageni wa kesi hii tutakuwa pamoja.
Mashitaka dhidi ya Kabendera yataiponza Tanzania zaidi ya hapa!
Bahati mbaya sana na Nigeria nao wamekumbwa na tukio hilo hilo baada ya wao pia kujiingiza ku deal na mwanahabari nguli Omoyele Sowore. Nigeria wana ugaidi wa kila aina, wana matapeli duniani hakuna na yote haya wameyafanya kwa miaka mingi iweje leo? Ukitaka uhasama na dunia iliyostaharabika basi wabughudhi waandishi wanaoonekana ni threat kwako kama wewe ni mtawala.
Mnalipwa kiasi gani siku hizi ?Nipo ufipa.
Makonda kaanza kuonja vikwazo baada ya kunyimwa viza ya kwenda MarekaniWaviongeze tu hivyo vikwazo maana kenge hasikii mpaka atoke damu.
Wewe ndiyo unafanya propaganda za kuwabambikia kesi wakosoaji wote wa utawala wenuKabendela lazima asimame mbele ya sheria hamna namna nyingine ya kumuepusha na hilo. Propaganda zote mnazofanya ni bure.
Kuichafua?...hahahahahahaaaaaa, ILISHAJICHAFUKIA TANGU ENZI MUACHIENI KIJANA WA WATU LI NCHI LI CHAFU KITAMBO TU.Kabendera alikuwa anatumika na Acacia na baadhi ya nchi kuchafua taswira ya Tz, hii ndio sababu kubwa wanaifuatilia kesi ya Kabendera kwa ukaribu sana maana ni “asset” yao. Adhabu ya Kabendera kwa nchi nyingi ni kifo maana hana tofauti na spy au foreign agent yoyote anayetumika kuchafua nchi.
Hata wakiweka vikwazo hakuna kumuachia Kabendera hadi apate haki na stahili yake kwa kuichafua nchi ili iwe fundisho kwa nyumbu yoyote ukitumika kama foreign agents wewe ni adui wa nchi na adhabu inayokustahili ki usalama ni kuwa eliminated.
Na utawala wenu unafanya nini?Wewe ndiyo unafanya propaganda za kuwabambikia kesi wakosoaji wote wa utawala wenu
Marekani inajua yenyeweKwahiyo mataifa mengine ya Afrika yana ukaguzi wa uhakika siyo?
Na huo ndiyo ukweli wenyewe. Mwana habari Erick Kabendera nje ya Tanzania ni mwana habari mwenye nguvu na mwenye uzani sawa na kina Jamal Khashoggi. Hayo mengine yalitokea yakapita kimya bila madhara makubwa. Wapo waliotekwa, wapo waliopotea, wapo walionusurika kuuawa, wapo waliouawa na wapo walionyang'anywa uwekezaji wao wa jasho na damu kwenye huu utawala wa John Pombe Magufuli. Hayo yote yalipita huku yakiangaliwa kwa mbali kidogo na subira.
Serikali ilikuja kujichanganya sana kumkamata mwana habari Erick Kabendera ambaye ni mwana habari anayehabarisha nje ya mipaka ya Tanzania, mwana habari aliykeuwa anatoa ukweli wote wa yanayoendelea Tanzania huko nje. Walijichanganya sana kumkamata na kumfungulia mashitaka ya uonevu na kubambikia.
Kukamatwa kwa Erick Kabendera kumetibua majeraha yote na sasa Tanzania ilianza kuchunguzwa kwa umakini zaidi na ndipo yanakuja haya.Na kusema kweli tutayavaa na si kwa Marekani pekee bali mlolongo wote wa mataifa ya NATO.
Mwana habari Jamal Khashoggi ambaye aliuawa kikatili ndani ya ofisi za ubalozi kwa kile kinachoelezwa kuwa alikuwa akimvua nguo kwa kumuandika mwana mfalme wa Saudi Arabia, mauaji yake yalileta sintofahamu kubwa duniani na kupelekea utawala wa Saudi Arabia kukosa imani kwa Marekani. Basi huyu Kabendera ni level zile zile za kina marehemu Khashoggi. Naamini kwa wale wanaoenda mahakamani kushuhidia kesi ya Kabendera na kuona wafuatiliaji wageni wa kesi hii tutakuwa pamoja.
Mashitaka dhidi ya Kabendera yataiponza Tanzania zaidi ya hapa!
Bahati mbaya sana na Nigeria nao wamekumbwa na tukio hilo hilo baada ya wao pia kujiingiza ku deal na mwanahabari nguli Omoyele Sowore. Nigeria wana ugaidi wa kila aina, wana matapeli duniani hakuna na yote haya wameyafanya kwa miaka mingi iweje leo? Ukitaka uhasama na dunia iliyostaharabika basi wabughudhi waandishi wanaoonekana ni threat kwako kama wewe ni mtawala.
Na huo ndiyo ukweli wenyewe. Mwana habari Erick Kabendera nje ya Tanzania ni mwana habari mwenye nguvu na mwenye uzani sawa na kina Jamal Khashoggi. Hayo mengine yalitokea yakapita kimya bila madhara makubwa. Wapo waliotekwa, wapo waliopotea, wapo walionusurika kuuawa, wapo waliouawa na wapo walionyang'anywa uwekezaji wao wa jasho na damu kwenye huu utawala wa John Pombe Magufuli. Hayo yote yalipita huku yakiangaliwa kwa mbali kidogo na subira.
Serikali ilikuja kujichanganya sana kumkamata mwana habari Erick Kabendera ambaye ni mwana habari anayehabarisha nje ya mipaka ya Tanzania, mwana habari aliykeuwa anatoa ukweli wote wa yanayoendelea Tanzania huko nje. Walijichanganya sana kumkamata na kumfungulia mashitaka ya uonevu na kubambikia.
Kukamatwa kwa Erick Kabendera kumetibua majeraha yote na sasa Tanzania ilianza kuchunguzwa kwa umakini zaidi na ndipo yanakuja haya.Na kusema kweli tutayavaa na si kwa Marekani pekee bali mlolongo wote wa mataifa ya NATO.
Mwana habari Jamal Khashoggi ambaye aliuawa kikatili ndani ya ofisi za ubalozi kwa kile kinachoelezwa kuwa alikuwa akimvua nguo kwa kumuandika mwana mfalme wa Saudi Arabia, mauaji yake yalileta sintofahamu kubwa duniani na kupelekea utawala wa Saudi Arabia kukosa imani kwa Marekani. Basi huyu Kabendera ni level zile zile za kina marehemu Khashoggi. Naamini kwa wale wanaoenda mahakamani kushuhidia kesi ya Kabendera na kuona wafuatiliaji wageni wa kesi hii tutakuwa pamoja.
Mashitaka dhidi ya Kabendera yataiponza Tanzania zaidi ya hapa!
Bahati mbaya sana na Nigeria nao wamekumbwa na tukio hilo hilo baada ya wao pia kujiingiza ku deal na mwanahabari nguli Omoyele Sowore. Nigeria wana ugaidi wa kila aina, wana matapeli duniani hakuna na yote haya wameyafanya kwa miaka mingi iweje leo? Ukitaka uhasama na dunia iliyostaharabika basi wabughudhi waandishi wanaoonekana ni threat kwako kama wewe ni mtawala.
Kenge ni kabendera na genge lake. Nakwataarifa msiyoijua kabendera mnamjua nyie! Ila wazungu hata hawajui km kuna m2 tanzania anaitwa kabendera! Anavuna alichopanda.Waviongeze tu hivyo vikwazo maana kenge hasikii mpaka atoke damu.
Tangu Mashinji aondoke malipo yamekuwa kiduchu, lakini bado tunabanana hapa hapa ufipa hadi kieleweke kamanda.Mnalipwa kiasi gani siku hizi ?
MkuuKabendera alikuwa anatumika na Acacia na baadhi ya nchi kuchafua taswira ya Tz, hii ndio sababu kubwa wanaifuatilia kesi ya Kabendera kwa ukaribu sana maana ni “asset” yao. Adhabu ya Kabendera kwa nchi nyingi ni kifo maana hana tofauti na spy au foreign agent yoyote anayetumika kuchafua nchi.
Hata wakiweka vikwazo hakuna kumuachia Kabendera hadi apate haki na stahili yake kwa kuichafua nchi ili iwe fundisho kwa nyumbu yoyote ukitumika kama foreign agents wewe ni adui wa nchi na adhabu inayokustahili ki usalama ni kuwa eliminated.
Huo ndio upumbavu mlio nao. Mnachomtuhumu mitaani mbona sicho alichoshtakiwa nacho mahakamani?Kabendera alikuwa anatumika na Acacia na baadhi ya nchi kuchafua taswira ya Tz, hii ndio sababu kubwa wanaifuatilia kesi ya Kabendera kwa ukaribu sana maana ni “asset” yao. Adhabu ya Kabendera kwa nchi nyingi ni kifo maana hana tofauti na spy au foreign agent yoyote anayetumika kuchafua nchi.
Hata wakiweka vikwazo hakuna kumuachia Kabendera hadi apate haki na stahili yake kwa kuichafua nchi ili iwe fundisho kwa nyumbu yoyote ukitumika kama foreign agents wewe ni adui wa nchi na adhabu inayokustahili ki usalama ni kuwa eliminated.
Unataka wakipigania Tume basi kila kitu kisimame kisifanyike wala kuzungumzwa? Mambo yote yanafanyika pamoja tuu.Badala ya muendelee kupigania tume huru nyie mmekomaa na maigizo ya Marekani ambayo matokeo yake ni 0
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanashindwa kuelewa kuwa Watanzania nao wamegundua kuwa utawala huu wa awamu ya tano ni wakala wa shetani.Mtu akiwa against huu utawala ni kibaraka. Tushazoea hiyo kauli na mnatuita mawakala wa mabeberu.
Ili tusikuone kabisa TZWaviongeze tu hivyo vikwazo maana kenge hasikii mpaka atoke damu.