PreGE2025 Kinachojiri kuelekea Kesi ya Lissu leo Aprili 24, 2025

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Huyo bibi kilaza hajiamini kbs, katiba yetu inapaswa kuainisha compitence ya mtu kuwa rahisi wa nchi...sio ilimradi mtu anavaa miwani basi anatosha kuwa rahisi!.
Rahisi wa nchi āŒļø
Raisi wa nchiāœ…ļø
 
MTU AKITAKA KUCHEZA ACHEZE NA MIFUGO YAKE NYUMBANI SIO KUCHEZA NA SERIKALI..SERIKALI HAICHEZEWI JAMANI!!!! KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI.
 
Sio kwa uoga huo hawatamleta lazima kisingizio kisafutwe tena kitakua kiaajabu hakina logic hawawezi kupambana na ummah.
Ni balaa, wanatia aibu kila siku
 
MTU AKITAKA KUCHEZA ACHEZE NA MIFUGO YAKE NYUMBANI SIO KUCHEZA NA SERIKALI..SERIKALI HAICHEZEWI JAMANI!!!! KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI.
Embu tipishe banašŸ˜’šŸ˜’, sisi ndio serikali, sio polisi, viongozi au Samia
 
Polisi watatumika hivi siku zote za kesi hata ikianza kusikilizwa mfululizo? Nchi ya kifala sana hii
 
Muda ni saa ngapi??
 

Nimeipata kwa mateso sana. Hapa ni kisutu, njia zote zimezibwa na polisi wenye mabomu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…