PreGE2025 Kinachojiri kuelekea Kesi ya Lissu leo Aprili 24, 2025

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Nimeona huko mtandaoni kuna mjeshi kaonya huko.

Maisha ya kuungaunga ni mabaya sana

Slogani ni tamu kinyama.

No Reforms No Election. Stop
 
Mama anazidi kupandisha joto la No reform no Election .na kujiongezea maadui pasipo sababu swala la Lisu litamuharibia sana kitaifa na kimataifa.Hoja za Lisu zinaungwa mko na watanzania wote wa ndani ya nchi na nje ya nchi hata yeye mwenyewe anazikubali ,Hoja wanazo jibu nivichekesho vitupu.Wamwachie Lisu kupunguza joto la kisiasa linalo zidi kupanda la sivyo watajaza mahabusu kibao wa kesi zsa kisiasa siku zote binadamu wapo kama nyuki jinsi unavyo ewaua ndivyo wansvyo zifi kukufuata
 
Polisi wameimeza vizuri sana hii ndoana ya Chadema hadi raha.
Utamu wa uchaguzi wa 2020 umenoga wamejisaha kumbe walikanyaga nyaya za moto.

Mgeda Kaunga mkono na kunyoosha kidole. Wananchi viongozi wa dini taasisi vyama vya siasa wasikilizwe

Hata Kinyata alitabiria KANU yake na akaizika mwenyewe.

No Reforms No Election
 
Chadema wamemua wakitamba na msemo wa Nguvu ya Umma huku wanachama wao wakitumia majina Feki na Kuonyesha Ujasiri wapo Tayari kwa Mapambano jambo ambalo limekua Tofauti na Matamshi yao na Mikwara yao

Nipo Hapa Kisutu Kiukweli Sioni hiyo Nguvu ya Umma wala hao Wanaojiita Makamada eneo la Tukio

Rai yangu kwa Vijana wa Chadema Siasa za Mtandaoni huku mmejificha na majina feki acheni kama nyie ni Wanaharakati wa kweli anikeni sura zenu na Majina yenu tujue kweli mmedhamiria kupigania kile mnachokiita Ukombozi.


Nguvu ya Umma Lissu anabebwa kama Kiroba pale Ruvuma, Nguvu ya Umma Heche anakamatwa kama Kuku Kariakoo haha haha

Msemo wenu wa Nguvu ya Umma mngeachana nao maana wananchi wamewapotezea hawana Time na Nyie endleeni na Kelele Mtandaoni na Majina feki huku mtu mmoja akitumia Akaunti 20 feki .


GM

Kisutu Dsm.
 
Tunasubiri ile nyomi ya mabalozi wa ulaya na US kutoka kwa Erythrocyte .
 
Nipo Jangwani hapa , MNYIKA Amekamatwa kuna bonge la foleni
 
Madaraka haya.

Yanatafutwa kwa nguvu,

Yanakaliwa kwa nguvu.

Hakuna lolote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…