Duuh wewe ata kuandika umeshindwa alafu unatukana na kubeza wengine. (compitence,rahisi)Huyo bibi kilaza hajiamini kbs, katiba yetu inapaswa kuainisha compitence ya mtu kuwa rahisi wa nchi...sio ilimradi mtu anavaa miwani basi anatosha kuwa rahisi!.
Ameonya nini huyo mjeshi?Nimeona huko mtandaoni kuna mjeshi kaonya huko.
Maisha ya kuungaunga ni mabaya sana
Slogani ni tamu kinyama.
No Reforms No Election. Stop
Kwenda kusiliza kesi mahakamani sio kuvunja sheria.Defender kila konaa yale mapya yenye mitutuu mbeleee..! leo usijimix.
Kwamba mataifa yanaona ni sahihi Lissu avuruge uchaguzi? Stop kiddingMama anazidi kupandisha joto la No reform no Election .na kujiongezea maadui pasipo sababu swala la Lisu litamuharibia sana kitaifa na kimataifa.Hoja za Lisu zinaungwa mko na watanzania wote wa ndani ya nchi na nje ya nchi hata yeye mwenyewe anazikubali ,Hoja wanazo jibu nivichekesho vitupu.Wamwachie Lisu kupunguza joto la kisiasa linalo zidi kupanda la sivyo watajaza mahabusu kibao wa kesi zsa kisiasa siku zote binadamu wapo kama nyuki jinsi unavyo ewaua ndivyo wansvyo zifi kukufuata
Kuandamana kwenda mahakamani bila kibari ni makosaKwenda kusiliza kesi mahakamani sio kuvunja sheria.
Hao walikuwa wa mkapa, nakuonyesha jinsi ya akina Rupia, manyemba na hilder walivyokuwa wanawake woga, wanashindwa na wanafunzi ,leo kisutu wamejificha makao makuuView attachment 3313878
Hawa Police wa Samia hawana haya. Unapelekaje askari wenye mitutu kwa Watoto wa shule?
Mkuu naomba link au video nami nimuone huyo mjeda?!Utamu wa uchaguzi wa 2020 umenoga wamejisaha kumbe walikanyaga nyaya za moto.
Mgeda Kaunga mkono na kunyoosha kidole. Wananchi viongozi wa dini taasisi vyama vya siasa wasikilizwe
Hata Kinyata alitabiria KANU yake na akaizika mwenyewe.
No Reforms No Election
Heche alikua ana andamana?Kuandamana kwenda mahakamani bila kibari ni makosa
Hao walikuwa wa mkapa, nakuonyesha jinsi ya akina Rupia, manyemba na hilder walivyokuwa wanawake woga, wanashindwa na wanafunzi ,leo kisutu wamejificha makao makuu
Ukimuona Mdude,Mariah sarungi na sativa nipe taarifa...
Wapumbavu nyieHeche alikua ana andamana?
Nakusudia kuonyesha chadema ni woga hata kuliko wanafunzi wa kikeWhat is your point here. Huku unawasema waoga kule unawasifia police kuwazuia. I am lost.
Kumbe nyie ndo mnaye mchokozaga bichwa etMpitie BICHWA KOMWE - ili mkikamatwa wote walau uwe unajipakulia minyama huko selo
Kwani kuna uchaguzi Tanzania au Demo ya uchaguzi.Kwamba mataifa yanaona ni sahihi Lissu avuruge uchaguzi? Stop kidding
Hakuna mbadiriko hakuna uchaguziWengi kumbe mna magenge
Kwahiyo CHADEMA tulikua tunapata wabunge kwa mfumo gani mkuu?Kwani kuna uchaguzi Tanzania au Demo ya uchaguzi.