PreGE2025 Kinachojiri kuelekea Kesi ya Lissu leo Aprili 24, 2025

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Hiyo ni Picha ya kwenye kampeni za ccm siyo ya leo, wanachama wa chadema wanaotishia mtandaoni leo wamejifungia ndani hata kazini hawataki kwenda kwa uoga
 
Tukisema chadema ni wapumbavu mnatuona wabaya, mnaokoteza picha huko mtandaoni ili kutafuta story humu, acheni ujinga keyboard warriors

 
MTU AKITAKA KUCHEZA ACHEZE NA MIFUGO YAKE NYUMBANI SIO KUCHEZA NA SERIKALI..SERIKALI HAICHEZEWI JAMANI!!!! KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI.
Kila lenye mwanzo lina mwisho. Japo napenda mwisho usiwe mbaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…