Kinachomsumbua Luhaga Mpina ni ukabila na chuki binafsi kwa Rais Samia

Lakini we jamaa ni mpumbavu sana na ole tukutane njiani nakutwanga mangumi ujinga ukuondoke

Mpina anapozungumzia uongozi mbovu, mikopo isiyo na tija, katiba n.k, anakuwa anatetea au kuzungumzia kabila lake au anatetea Nchi yake?

Mpina ni mzalendo na mlinda Rasilimali zetu
 
Mkuu kama ni kosa, kwa nini kwenye mkutano mkuu wa CCM uliopita hawakumfuta uanachama na ujumbe wake.

Punguza mahaba yanayo kuziba masikio na kugandisha fikra zako.

Kutofautiana mtizamo ndio ukomavu wa siasa
 
Watu wengi wanaoishi ukanda wa ziwa kuu ni wakabila sana ushaidi ni kinachoendelea goma Rwanda na the like
Mkuu sio kweli, usichokijua ni usiku wa giza. Kafanye utafiti wa kina kwanza.
 
Lucas Mwashambwa mjibu Luhanga Mphina kwa hoja kuliko shambulio la kibinafsi, (character assassination), uzuri wengine humu tuna uwezo mzuri tu wa kutafsiri mambo
 
Kundi kubwa la mamilioni ya wana CCM tupo nyuma ya Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan. Ndio maana tulimpitisha kwa kishindo kikuu kugombea Urais uchaguzi Mkuu wa mwaka Huu.
Mkuu kama ndio hivyo kwa nini mumpitishe kwa hati ya dharura kinyume na katiba yenu???

Mliogopa nini kumshindanisha na wagombea wengine ndani ya chama kama kweli ana wafuasi wengi kiasi hicho???

Kama kweli ana wafuasi lukuki aliogopa nini kutoka nje ya ukumbi kama utaratibu unavyotaka ili ajadiliwe na wanachama???

Tafadhali jibu maswali haya.
 
Lakini mbona ukikaa na kuisikiliza Sauti na kauli za huyu jamaa na kuzitafakari ni kama zna kaukweli,chukulia ishu ya Huseni?.

Hao wanaoshindwa kumjibu ni kwa vile Mpina anaongea ukweli.
 
Mtu akiwa na tatizo la afya ya akili ni nadra kujitambua kuwa ni mgonjwa. Ndugu yetu Lucas hujachelewa, nakushauri ukaonane na mtaalamu wa afya ya akili.
Kundi kubwa la mamilioni ya wana CCM tupo nyuma ya Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan. Ndio maana tulimpitisha kwa kishindo kikuu kugombea Urais uchaguzi Mkuu wa mwaka Huu.T
 
Wanaoongoza kumpenda Chura ni Mabango aliyoyaweka kila kona ya nchi na Machawa wanaogalagala wakimtukuza Mama yao.
 
Mnahangaika kutumia nguvu sana kulazimisha kwamba huyo Rais wenu anakubalika, wakati kiuhalisia hakuna kitu! Ukweli utabaki palepale, hakuna kiongozi humo! Ukabila ni kisingizio tu!
 
Nina hakika kwa asilimia 10000 hujui nini maana ya uzalendo na kuwa mzalendo
Mimi ni mzalendo ambaye nipo tayari hata kulifia Taifa langu na Nchi yangu. Japo sina uhakika kama una akili za kuelewa maana ya Taifa na Nchi😀😀
 
Mnahangaika kutumia nguvu sana kulazimisha kwamba huyo Rais wenu anakubalika, wakati kiuhalisia hakuna kitu! Ukweli utabaki palepale, hakuna kiongozi humo! Ukabila ni kisingizio tu!
Kachukue Fomu ya Urais kwenye chama chako uje ushindane naye kwenye sanduku la kura uone utakavyo pigwa kipigo cha mbwa koko.
 
Lakini mbona ukikaa na kuisikiliza Sauti na kauli za huyu jamaa na kuzitafakari ni kama zna kaukweli,chukulia ishu ya Huseni?.

Hao wanaoshindwa kumjibu ni kwa vile Mpina anaongea ukweli.
Unasikiliza sauti au hoja? Embu acha umbumbumbu
 
Hao wagombea wengine ni akina nani waliokwambia kuwa wanataka kugombea Urais? Embu wataje hapa tupate kuwajua na uweke na ushahidi.

Nani kakuambia kuwa alipitishwa kwa dharula? Unaelewa majukumu na mamlaka iliyonayo mkutano mkuu wa CCM? Wana CCM ndio umeamua sasa inakuwaje wewe unaumia na kuwashwa washwa utafikiri umepakwa pilipili?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…