Kinachomsumbua Luhaga Mpina ni ukabila na chuki binafsi kwa Rais Samia

Mkuu kama ni kosa, kwa nini kwenye mkutano mkuu wa CCM uliopita hawakumfuta uanachama na ujumbe wake.

Punguza mahaba yanayo kuziba masikio na kugandisha fikra zako.

Kutofautiana mtizamo ndio ukomavu wa siasa
Kwanini umsukume Mlevi wakati unajua atajidondokea Mwenyewe kama Embe.
 
Tatizo la kuangalia mtoa hoja na kujadili matukio na watu badala ya issue..., Who cares kama Mpina ana chuki au hampendi Samia (kwani hapa mtu anatafuta mchumba au penpal) cha maana ni kama anachosema kina mashiko au ni pumba, hivyo kuliko kuendelea kuwa simpletons ni bora kwa uhai wa Taifa tukazungumzia hizo tuhuma ili zirekebishwe.... Na kama Chuki ni kufuatilia mambo basi tungekuwa mbali kama kila mtu angekuwa na chuki binafsi
 
Jinga kama wewe ambalo ni msukule huwezi kumuelewa. Katika nchi yetu yapo majinga kama wewe na haya ndiyo yanarudisha maendeleo nyuma. Jinga kama wewe hata haliwezi kuona hata wizi unaofanyika. Jinga kama wewe linafaa kufa tu haraka. Kufa Leo shetani wewe. Mzazi wako aliuza ng'ombe kusomesha ng'ombe nyingine. Mungu chukua hili lishetani haraka lichome Moto liteketee kabisa
 
Kinachokusumbua wewe ni ukosefu wa akili, uchawa na kuendekeza njaa.
Tafuta kazi mzee
 
Anachokisema Mpina hakina mashiko wala ukweli wala uhalisia.Ni Uropokaji tu uliojaa ukabila na chuki binafsi tu.
 
Mkuu unabubujikwa na machozi ukiwa wapi Mkuu???😁😁😁


Anyway mi nadhani huyu Luhaga Mpina ashtakiwe tu mahakamani kwa uhaini na kutoa taarifa za uongo... Au unaonaje Lucas Mwashambwa ?? Au hakuna kosa alilofanya??
 
hili neno la udini,ukabila,ukanda mbona unapenda sana kulitumia Mzee ndio akili Yako ilipoishia kuongea uchawa
 
Hiyo jamaa naamini kabisa kiwa ni mchawi.

Toka apigwe chini uwaziri kawa kama koboko liyeuliwa wanawe.
 
Mkuu unabubujikwa na machozi ukiwa wapi Mkuu???😁😁😁


Anyway mi nadhani huyu Luhaga Mpina ashtakiwe tu mahakamani kwa uhaini na kutoa taarifa za uongo... Au unaonaje Lucas Mwashambwa ?? Au hakuna kosa alilofanya??
Itapendeza sana alete na ushahidi na nadhani kafanya makusudi ili apelekwe mahakamani nadhani ushahidi anao Luhanga Mphina siyo mpambu.

Upumbavu ni kipaji, mpumbavu ni mtu aliyebobea kwenye jambo fulani lakini ana mapuuza hatekelezi majukumu yake kwa weledi anajizima data
 
Mkuu siku hizi nakuona huandiki namba za simu umeshalamba uteuzi?
 
Mtoa mada ulichosema ni ukweli kabisa, luhaga mpina ni Mbinafsi tu na chuki zake kwa Samia ni kutokana na Udini, Uzanzibari na jinsia yake. La mwisho na la msingi Mpina kukosa uteuzi, ndo kinachosumbua. Alipokuwa waziri wa mifugo, alikuwa ni miongoni mwa mawaziri wa ovyo kabisa, kutoa matamshi ya kuropoka, kuumiza wananchi hususan wavuvi. Apumzike zake na ubunge ndo bye bye
 
Raisi wa mawe....
 
Mpina anatetea mali za Watanganyika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…