Kinachomsumbua Luhaga Mpina ni ukabila na chuki binafsi kwa Rais Samia




Wewe kilichokuwa kinasumbua Kwa Tundu Lissu kuwa mwenyekiti chadema ni kitu gani?
 
Anachokisema Mpina hakina mashiko wala ukweli wala uhalisia.Ni Uropokaji tu uliojaa ukabila na chuki binafsi tu.
Kuliko kumjadili Mpina na Chuki zake (ni haki yake sio lazima ampende mtu na anaweza kumchukia kama wewe unavyomchukia yeye); tujadili anachokisema na anachokisema mimi kama Mlipa Kodi naona kina Mashiko, Mikopo imezidi, Tozo zimezidi lakini sioni value for money.... Na mimi sina Mapenzi wala chuki na yoyote na muda huo sina zaidi ya kupenda kuona value ya our hard earned cash....

 
Lucas unajua kweli kuwakera hawa nyumbu. Kiufupi, mpina ni mpumbavu tu mmoja asiye na athari yoyote ndo maana mama Samia ameamua kumpotezea tu Ili aumie vizuri......yaani afe Huku akijiona. Watu pekee wanaomuunga mkono mpina ni hawa nyumbu wachache wa humu jf wanaokushukia na matusi, Huku mtaani watu wanasaka mafekeche tu kwa kuitumia vizuri miundombinu iliyowekwa vizuri na mama.

Endelea kuwaumiza ndg. Lucas, waambie kwa sauti kubwa kuwa Mama Samia, The Mother of Modern Tanzania, yupo kitini mpaka 2030 hivyo kama Kuna matusi ya ziada hawa nyumbu wameyabakisha na kuyahifadhi kwenye sidiria zao basi wayatoe tu tayari kwa kuyarusha.
 
Mpeni discipline kama Babu mihogo
 
Tanzania siyo miongoni mwa Nchi zenye madeni makubwa. Sasa unaanzia wapi kusema mikopo imezidi. Pia kukopa siyo dhambi bali inategemea unakopa kwa ajili ya kufanyia nini
 
Hupaswi kumuona ni mkabila. Luhaga ni mkweli, anasimama katika ukweli. Ndiye kada pekee wa ccm mwenye misimamo tofauti na wanachama wenzake ndani ya ccm. Luhaga aendelee tu kuwa ccm maana ameisha ji brand ni mpinzani wa ndani kwa ndani humohumo sisiemuni
 
Mpina ji Mzalendo na mwana mapinduzi halisi wa nchi yetu - Hoja zake zimeshiba na ni za kweli na ni lazima zipewe support na mwananchi yeyete mwenye uchungu na raslimali za nchi yetu.

Mpina Oyeeeee!!
 
Tanzania siyo miongoni mwa Nchi zenye madeni makubwa.
Kulinganisha na nani ? Na hata kama tungekuwa hatuna deni tuna sifuri alafu ndani ya miaka michache au awamu chache madeni hayo yakazidi maradufu lazima ujiulize na uangalie umefanya nini; Pia unajifananisha na nani

By the way kwanini miradi ya ndani ukope at all ?
Sasa unaanzia wapi kusema mikopo imezidi. Pia kukopa siyo dhambi bali inategemea unakopa kwa ajili ya kufanyia nini
Moja kwanini ukope ili ulipe RIBA kama kuna alternative; Kwanini usitumie vitu vya ndani kama vipo na wakandarasi wa ndani ambao utawalipa pesa ya ndani hivyo kuweza kutoa Bonds (au kutumia pesa za ndani; ambazo utatoa wewe kama Serikali bila kuhitaji Riba) na kufanya hio miradi ? Huoni hapo utakuwa umetumia gharama ndogo ? Usijilinganishe na USA sababu yeye anachofanya ni kuprint dollar anavyotaka na kuwauzia dunia hilo deni kama Bonds na kila mkija kudai Riba na Faida yenu anaprint zaidi....
 
Katika yote uliyoandika sijaona wapi hoja ya ukabila inakuja?

Pili sijui wewe ni mwanasiasa wa wapi. Unataka kugombea ubunge wakati yupo mbunge tena wa CCM, unajua maana yake? Yaani unamsagia chawa ili wewe upite. Sasa kama hiyo ndio siasa. Kuna shida gani mpina akimsagia chawa Madelu?
 
Uchafu wa mdomo wake unaopenda kuropoka ropoka na kutoa maneno ya ubaguzi na Chuki

Na mpina pia kuna vitu havipendi Kwa mwenyekiti wake

So wewe na yeye wote mlikuwa na haki ya kutoa hisia zenu
 
Mimi siyo chawa ndugu yangu mtanzania uliyejaa msongo wa Mawazo na chuki binafsi
Kama sio chawa ni nani basi?

Ambaye kwenye nyeupe unalazimisha watu waone nyeusi,,na nyekundu iwe kijani,,

Wacha legacy ijiongelee yenyewe..
 
Mpina ji Mzalendo na mwana mapinduzi halisi wa nchi yetu - Hoja zake zimeshiba na ni za kweli na ni lazima zipewe support na mwananchi yeyete mwenye uchungu na raslimali za nchi gg,,yetu.

Mpina Oyeeeee!!
Mpina hana uzalendo wowote ule. Ni miongoni Mwa Mawaziri walifanya hovyo sana wakati wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…