Kinachonishangaza kwa Katibu Mwenezi na Itikadi CCM Makonda ni kuona leo hii akipinga mabaya aliyowahi kuyafanya

1. Dharau
2. Uonevu
3. Ubabe
4. Uwizi/ Ufisadi
5. Dhuluma
6. Rushwa
7. Uwongo/ Kudanganya

Haya GENTAMYCINE niwatakieni tu Kila la Kheri wale wote wenye Ubongo mfupi na hafifu wanaomuamini na kumsifu sasa wakati kwa Rekodi zake za Kimatukio Kipindi chake yuko Madarakani/ Serikalini angekuwa katika Taifa linalojitambua na kufuata Misingi ya Sheria huenda hivi sasa (Makonda) angekuwa ama Kifungoni Jela / Gerezani au Udongoni/ Mavumbini nikimaanisha ameshanyongwa Kitambo sana na sasa kawa Historia tu.
zama zimebadilika
 
Siasa Mchezo mchafu.

Sent from my V1901A using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom