Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yani nilitaka kusema hiviUngebadili heading.
Kuokoka au kusilim hakumfanyi mtu kufeli kimaisha Bali mapokeo mabaya ya neno ndio huumfelisha mtu.
Ukimshika Mungu na ukafanya kazi that's a very good combination.
Walokole tupo hapa tunapiga kazi na maombi tunapiga kama kawaida tumeshikilia mstari wa,"Nayaweza mambo yote katika yeye anitiae nguvu"
Asilimia 99 ya ukichoandika ndiyo mafundisho ya Yesu kristo.Kuwa mkristo (mfuasi/mwanafunzi wa Yesu) unapaswa uishi Kama ulivyoandika wewe.Tena Biblia imeandika dini iliyo Bora isiyo na mawaa mbele za Mungu Ni upendo..Pia japokuwa nanena ksa lugha na kuvishika vifungu vyote,natoa zaka Kama Sina upendo nakuwa Kama upatu uvumao. Yesu hakuja na mtazamo wa kidini,Bali kumjua Mungu aketiye ndani yetu ambaye ametupa mamlaka yoteMkuu nitake radhi mimi sina dini. Kuniuliza mimi dini gani ni sawa na kunitukania shangazi yangu.
Anyways nimezaliwa katika familia ya kiislamu ila now nimekuwa engligntened.
Usishangae mimi kunukuu vifungu vya biblia KWA sababu waislamu huisoma biblia pia.
Mimi ni mfuasi wa Mwanga. I am a disciple of the Light.
I shall always follow the light no matter who bearers it.
Navutiwa na mafundisho ya Yesu KWA sababu yana appeal with my personal belief.
I believe I have the power of God in me and Jesus confirmed to me by actually saying we humans possess the power of God in us.
Siamini katika dhana ya kwenda kanisani au msikitini kwa ajili ya kumuomba Mungu kwa sababu Mungu hahitaji tumuombe chochote KWA sababu ametupa kila kitu.
Ndio maana King David anasema " The Lord is my shepherd I shall never want" .
I don't want anything because I have everything in me. All I need to do is to use it and never to ask.
Kanisani au msikitini ni sehemu za kwenda kwa ajili ya kusocialize na watu wako lakini sio kwenda kumuomba Mungu.
Mungu hayupo kanisani au msikitini. Mungu yupo ndani yetu
Likud unamaanisha hata kanisani tusiende kwakua Mungu katupa uwezo????Lakini wakristo hawafanyi hivyo. Wengi wanaenda kanisani kuombewa
Jamaa yangu, haya majibu yako hayaendani na maandiko ya wakristu [kwenye biblia], labda upande wa pili.Hapo kwenye maombi ndipo mnapo feli.
Mungu hahitaji umuombe chochote KWA sababu amekupa KILA kitu tayari. KILA kitu kipo ndani YAKO.
Ibada pekee inayo kubalika mbele za Mungu ni ibada ya shukurani.
Unamshukuru Mungu kwa kuku umba na kuweka nguvu zake ndani YAKO..
Huyu nahisi atakuwa muislamu, lakini anajaribu kugusa pande zote bila ya kuwa na ufahamu kuhusu upande wa pili, au ufahamu alionao ni mdogo.Mkuu,hivi wewe Ni dini gani, maana threads zako naona unahama hama sn.
**** muda unakuwaje na mtazamo wa kikristo alafu Kuna muda unakuwa na mtazamo wa kiislamu.
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Hapa ndio umenimaliza kabisa, unaposema Mungu kwako sijui ni yupi, ila kwangu ni Yesu Kristu, na unapodai yupo ndani yetu [bila shaka ukimaanisha sisi sote], ndio unafeli kabisa...Mkuu nitake radhi mimi sina dini. Kuniuliza mimi dini gani ni sawa na kunitukania shangazi yangu.
Anyways nimezaliwa katika familia ya kiislamu ila now nimekuwa engligntened.
Usishangae mimi kunukuu vifungu vya biblia KWA sababu waislamu huisoma biblia pia.
Mimi ni mfuasi wa Mwanga. I am a disciple of the Light.
I shall always follow the light no matter who bearers it.
Navutiwa na mafundisho ya Yesu KWA sababu yana appeal with my personal belief.
I believe I have the power of God in me and Jesus confirmed to me by actually saying we humans possess the power of God in us.
Siamini katika dhana ya kwenda kanisani au msikitini kwa ajili ya kumuomba Mungu kwa sababu Mungu hahitaji tumuombe chochote KWA sababu ametupa kila kitu.
Ndio maana King David anasema " The Lord is my shepherd I shall never want" .
I don't want anything because I have everything in me. All I need to do is to use it and never to ask.
Kanisani au msikitini ni sehemu za kwenda kwa ajili ya kusocialize na watu wako lakini sio kwenda kumuomba Mungu.
Mungu hayupo kanisani au msikitini. Mungu yupo ndani yetu
Jamaa yangu, haya majibu yako hayaendani na maandiko ya wakristu [kwenye biblia], labda upande wa pili.
Maandiko yanatuambia tumtumaini yeye, bila yeye hatuwezi, sasa wewe unatuaminisha hapa tunaweza wenyewe bila yeye!.
Ni makosa makubwa sn.Lakini wakristo hawafanyi hivyo. Wengi wanaenda kanisani kuombewa
Kasema Hana dini.Huyu nahisi atakuwa muislamu, lakini anajaribu kugusa pande zote bila ya kuwa na ufahamu kuhusu upande wa pili, au ufahamu alionao ni mdogo.
Yesu hajawahi kusema mahali popote kwamba yeye ni Mungu wala mimi sijasema Yesu anaishi ndani yangu.Hapa ndio umenimaliza kabisa, unaposema Mungu kwako sijui ni yupi, ila kwangu ni Yesu Kristu, na unapodai yupo ndani yetu [bila shaka ukimaanisha sisi sote], ndio unafeli kabisa...
Yesu Kristu hayupo ndani ya kila mtu my friend, yupo ndani ya wale wanaoyajua na kuyaishi mafundisho yake pekee, kuna wengine hawajui ndio maana licha ya siku ya mwisho kumuita Bwana, tulitoa majini kwa jina lako, atawaambia ondokeni kwangu siwafahamu.
Mawaa👍Asilimia 99 ya ukichoandika ndiyo mafundisho ya Yesu kristo.Kuwa mkristo (mfuasi/mwanafunzi wa Yesu) unapaswa uishi Kama ulivyoandika wewe.Tena Biblia imeandika dini iliyo Bora isiyo na mawaa mbele za Mungu Ni upendo..Pia japokuwa nanena ksa lugha na kuvishika vifungu vyote,natoa zaka Kama Sina upendo nakuwa Kama upatu uvumao. Yesu hakuja na mtazamo wa kidini,Bali kumjua Mungu akwtiye ndani yetu ambaye ametupa mamlaka yote
Hata siku moja aliwaambia mafarisayo na waandishi (watu wa dini/washika dini). "ole wenu nyie waandishi na mafarisayo kwa kuwa mmefanana na makaburi, kwa nje yanameremeta na kuvutia kwa malumalu na chokaa ila kwa ndani kumejaa mifupa na uchafu".
Tulio wengi tunaabudu zaidi dini kuliko kumjua Mungu aishie ndani yetu!