Mahondaw JF-Expert Member Joined Apr 9, 2013 Posts 75,495 Reaction score 185,562 Aug 31, 2026 #281 Wakaze tu maisha lazima yaendelee!! Bora uzima maisha ni matokeo Cc Smart911
Isanga family JF-Expert Member Joined Feb 25, 2015 Posts 22,981 Reaction score 47,826 Aug 31, 2026 #282 Wazee bado mnatushambulia tuliorudi bila kitu mngetupa michongo basi maana kila kukicha oohh hapa hapa unapata ila mmekumbatia white harafu mnajifanya mpo serious kuondoa umasikini..
Wazee bado mnatushambulia tuliorudi bila kitu mngetupa michongo basi maana kila kukicha oohh hapa hapa unapata ila mmekumbatia white harafu mnajifanya mpo serious kuondoa umasikini..