Kinachosikitisha wa Tanzania waliozamia SA wemerudi na umaskini

Mjinga ni wewe uliyeacha kutumia jina la ukoo wenu unatumia la koffi Annan, haupo sawa
Mkuu nipo sawa kabisa, nimeona wajinga wengi huko Instagram na kwingineko wakiwaongelea hao walioletwa kwamba ndio wanawawakilisha wazamiaji wote, jambo ambalo halihitaji common sense STD 7 kujua hao waliopewa lifti kurudi ni asilimia ndogo sana ya wazamiaji na maisha yamewashinda ndio maana hadi wamekosa nauli za kurudi wakapewa lifti
 
Am well educated than you .
This is just status anxiety.

Ulivyojibu tu umejionesha kuwa huna kitu.

Kwa sababu "well educated than you" si qualification.

Pia, hata Kiingereza hujui. Hujui kwamba hutakiwi kutumia "well" na "than" ulivyotumia wewe.

Unatakiwa kutumia "I am more educated than you".

Talk about educated.
 
Majority ya wazamiaji ni bunch of un educated na wasela mavi
 
Bruh kumbe hujitambui , kwa uwezo wako mdogo wa kufikiri unadhani kujua kingereza ndo kuwa na elimu . Kumbe we ni buree kabisa
 
Haiondoi ukweli hao unaowaita uneducated ndio wana maisha mazuri kuliko wewe
Hata Elon Musk hana maisha mazuri kushinda mimi hata kama nakula ugali wa muhogo , hakuna kipimo cha kusema fulani ana maisha mazuri kumzidi huyu , Maisha mazuri ni kuishi katika malengo uliyojiwekea , unajuaje labda malengo yangu ni kukaa nyumba ya nyasi
 
Bruh kumbe hujitambui , kwa uwezo wako mdogo wa kufikiri unadhani kujua kingereza ndo kuwa na elimu . Kumbe we ni buree kabisa
Kujua Kiingereza si kuwa na elimu ila wewe umechagua kutumia Kiingereza bila sababu kwa "Status Anxiety" yako tu kujionesha msomi.

Wakati Kiingereza hata cha kuombea maji hujui.

Unaandika "I am well educated than you" sehemu uliyotakiwa kuandika "I am more educated than you".

Wewe ngumbaru tu, ndiyo maana hunielewi ninapoongelea individual freedom za watu.

Sitashangaa kama hujawahi kukutana na hiyo dhana maishani mwako ushazoea kuishi king'ombeng'ombe tu kijima mnapangianapangiana tu maisha bila hata kujuana.

Hao watu huwajui, unawapangiaje maisha?
 
Asante sana Mkuu kwa majibu mazuri,
Kama hakuna kipimo cha fulani ana maisha mazuri nini kimefanya uite wenzako maskini na uneducated???
Hivyo hii mada yako ni batili na umeji prove kwamba ni ujinga kuwaita wenzio maskini na uneducated.
 
Umeandika gazeti refu sana lakini huna hoja . Wewe ulitakiwa utoe hoja kuhusiana na mada tajwa lakini kwakuwa huna hoja unakimbilia kunishambulia mimi hoja hujibiwa kwa hoja. Nina mashaka sana na uwezo wako wa kufikiri na usikute hata kwenye vikao vya familia / ukoo wanakutenga maana wanajua hakuna mchango wa mawazo wanaweza kuupata kutoka kwako.
 
Hoja ya mada tajwa nimekutajia hoja ya individual freedom.

Nikasema sitashangaa kama hoja hii hujawahi kuisikia maishani mwako.

Na kweli, umethibitisha huielewi.

Kwa sababu wewe ni ngumbaru.

Ukisikia mtu analeta habari za "Usikute..." ujue huo ni umbea tu.

Hata mimi naweza kusema usikute wewe hata Kenya hujafika unaogopa maisha ya kuvuka mpaka na una wivu na watu wanaosafiri kujaribu maisha nje.
 
Asante sana Mkuu kwa majibu mazuri,
Kama hakuna kipimo cha fulani ana maisha mazuri nini kimefanya uite wenzako maskini na uneducated???
Hivyo hii mada yako ni batili na umeji prove kwamba ni ujinga kuwaita wenzio maskini na uneducated.
Kuwa uneducated hakuhusiani na mafanikio ya kimaisha na ndioomaana wapo wajinga wengi tu wanamafanikio huko kunafungamana na ujinga na ujinga sio tusi ni mtu kukosa elimu na uelewa wa kutosha
 
Kiranga embu katumie wese la mwamposa haupo sawa ndg
 
Hao ni mateja tuu. Kama wanavyoonekana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…