Kinachotokea Congo ni mapinduzi ya Kijeshi, hakuna cha kuzuia hili kutokea

Kinachotokea Congo ni mapinduzi ya Kijeshi, hakuna cha kuzuia hili kutokea

Hakika na Congo ni mfano mzuri, right in front of our 👀
Joseph Kabila ndio mtu wa kwanza wa kulaumu kwa haya yanayoendelea Congo kwa sasa. Ule uchaguzi aliochakchua umeleta kiongozi asiejielewa hata kidogo.
 
Kuachana na propaganda zote zinazoendelea kuwa Kagame anasaidia waasi kuiharibu Congo, ukweli ni kwamba Congo is a failed state. Huu ni mwaka 2025, Congo haina mifumo yoyote ya kusaidia kuiongoza nchi.

Jeshi la Congo ni dhaifu, tumeshuhudia picha za wanajeshi wa Congo wakiwa peku, wengine hawana uniform wala vitendea kazi ambavyo kimsingi vinatakiwa kutolewa na serikali.

Congo haina barabara, umeme, maji, hospitali Wala shule hivyo hata wananchi wa Congo hawana elimu kwaiyo wakati mwingine wanawezakuoneka kama ni vichaa wasojua wanachotaka.

Tshisekedi siyo mzalendo Wala hana nia ya dhati ya kusaidia Congo kuwa taifa lenye heshima na kujiweza kiuchumi.

Kwaiyo kinachoendelea Congo ni mapinduzi ya KIJESHI maana wananchi wamewaelewa M23 kwakua serikali ipo mbali hivyo tegemeo lao ni hao wanaowaona. M23 kila wanapopita wanashangiliwa na kupewa support na wananchi.

Majeshi yetu na ushirika wa East Africa Community hamuwezi kuzuia wananchi wa Congo kuijenga upya nchi yao.

Tukae kimya, kila nchi ilinde mipaka yake, acheni M23 na raia wa Congo waijenge nchi yao, wwpeni support wale wanaotakiwa na wananchi.

Inapendeza pale Congo itakapopata Rais atakayekiwa mzalendo, ajenge mifumo ya nchi, aimarishe jeshi, ajenge barabara, shule, hospitali, na miundombinu yote Ili tushirikiane vizuri.

View attachment 3237738
Mkuu Congo hakuna Shule...wanajeshi hawana viatu na vingine vingi sana vya uongo.
Hivi wewe unachukulia Goma ndiyo Congo? Mwezi uliopita Kinshasa mafuta yakikuwa yanauzwa 800tsh/Lita...kama unabisha kuwa Kagama hatoi msaada kwa M23 kwanini mipaka zingine ya nchi 8 zinazopakana na Congo hakuna shida zaidi ya hii inayopakana na Rwanda?
Fuatilia historia kati ya jimbo la Cabinda (Angola) na bandari ndogo ya Congo jirani na Cabinda ndiyo utakubali kuwa Congo siyo failed state kama unavyosema.
 
Wakishampindua Tshisekedi itakuwa zamu ya AFC na M23 kutwangana. Malengo ya AFC na M23 yametofautiana. M23 wanataka wamegewe sehemu ya Congo wakati kina Nangaa wao wanataka madaraka kuongoza DRC nzima. Hii vita ina Part II.
Vyovyote itakavyokuwa lkn kwanza mwizi wa kura afurushwe
 
Mafisadi wameamua kusaidiana ili kubakia madarakani . UN ni tatizo maana ndio wanaofadhili mpambano wa vita vya risasi kwa vijana wetu kwenda kulinda Majizi ya kizungu yaliyoletwa na Tshiseked anayeshirikiana na mabeberu kuiba rasilimali za Congo.

Tanzania inawashwa nini na mambo ndani ya Kongo .Mambo yao ya ndani waachiwe wenyewe ndio maana yule Rais boya wa Kongo anakua na kiburi kisicho na maana .
 
Nafikiri hao aliowataja wote kama nchi wapo hapo katika "official Capacity" ukiacha hao waasi.
Ila hawakupaswa kuwepo means mgogoro haukupasa kuwepo,hii inatoa nafasi kwa mataifa hayo kuwepo huku kukiwa agenda nyuma yake
 
Ila hawakupaswa kuwepo means mgogoro haukupasa kuwepo,hii inatoa nafasi kwa mataifa hayo kuwepo huku kukiwa agenda nyuma yake
Nilikuwa natoa mawazo yangu kuhusu hoja ya Rwanda kutokutajwa kwenye hayo maongezi.
 
Tshisekedi siyo mzalendo Wala hana nia ya dhati ya kusaidia Congo kuwa taifa lenye heshima na kujiweza kiuchumi.
Tshekedi ameikuta mifumo iko hivyo.

Jeshi la kongo halina Ma Generali? Haina ma Luteni? Halina ma Brigadia? Au Ma IGP?

Wameisaidia nini Nchi yao?
Shida ya Afrika ni Ubinafsi.

VIongozi wako DRC lakini Familia zao ziko Ubelgiji, Paris, America, Japani, SA. Kule wanakusanyia mali tu
 
Hayo madini mapya yalivyo onekana kwenye ule mlima ulio anguka nilijua kinachofuatia Congo ni vita.

Hapo tatizo ni hayo madini yao. Congo ni tajiri sana ila pia ni masikini sana. Africa tuna safari ndefu
 
Kuachana na propaganda zote zinazoendelea kuwa Kagame anasaidia waasi kuiharibu Congo, ukweli ni kwamba Congo is a failed state. Huu ni mwaka 2025, Congo haina mifumo yoyote ya kusaidia kuiongoza nchi.

Jeshi la Congo ni dhaifu, tumeshuhudia picha za wanajeshi wa Congo wakiwa peku, wengine hawana uniform wala vitendea kazi ambavyo kimsingi vinatakiwa kutolewa na serikali.

Congo haina barabara, umeme, maji, hospitali Wala shule hivyo hata wananchi wa Congo hawana elimu kwaiyo wakati mwingine wanawezakuoneka kama ni vichaa wasojua wanachotaka.

Tshisekedi siyo mzalendo Wala hana nia ya dhati ya kusaidia Congo kuwa taifa lenye heshima na kujiweza kiuchumi.

Kwaiyo kinachoendelea Congo ni mapinduzi ya KIJESHI maana wananchi wamewaelewa M23 kwakua serikali ipo mbali hivyo tegemeo lao ni hao wanaowaona. M23 kila wanapopita wanashangiliwa na kupewa support na wananchi.

Majeshi yetu na ushirika wa East Africa Community hamuwezi kuzuia wananchi wa Congo kuijenga upya nchi yao.

Tukae kimya, kila nchi ilinde mipaka yake, acheni M23 na raia wa Congo waijenge nchi yao, wwpeni support wale wanaotakiwa na wananchi.

Inapendeza pale Congo itakapopata Rais atakayekiwa mzalendo, ajenge mifumo ya nchi, aimarishe jeshi, ajenge barabara, shule, hospitali, na miundombinu yote Ili tushirikiane vizuri.

View attachment 3237738
hayo mamb kayaanzisha Tshiked au ameyakuta ? je anawezaj kuyamaliza kwenye miaka 5 tu wkt huo anapambana na vikundi almost 100 , yanayoendelea DRC soon yatatapakaa ukanda huu mzima na watakuja na story nyingine kulingana na nchi husika , huez nambia hao watutsi wameanza baguliwa mwaka 1997 ila miaka mingine yote waliishi vzr ( chini ya adui yao Mobutu ) , tuliingia kweny ukoloni hv hv , HILO NI TATIZO LA BWANA HERI SIO TATIZO LETU WAHEHE , MPK MZUNGU ANAITEKA TANGANYIKA NDIPO TUNAPATA AKILI , WATUTSI ( SIO WABANTU HAWA ) WANAPAMBANA KUTUTEKA WABANTU MDG MDG BAADA YA DRC NEXT IS TANZANIA THEN WATAKUWA STRONG KUMWAMLISHA YEYOTE UKANDA HUU WA MASHARIKI , KUSINI NA KATI YA AFRIKA , TUWE MAKINI
 
Wakishampindua Tshisekedi itakuwa zamu ya AFC na M23 kutwangana. Malengo ya AFC na M23 yametofautiana. M23 wanataka wamegewe sehemu ya Congo wakati kina Nangaa wao wanataka madaraka kuongoza DRC nzima. Hii vita ina Part II.
Wabantu ni wajinga sana , watutsi watawatawala wabantu kwa miaka mingi mbele kama tusipoamka ss hv , mhutu ni mbantu yeyote yule hata ww ni mhutu
 
Congo ni lazima ikatwe vipande .nili kubwa jinga lenye resources nyingi kiasi kwamba hadi kuzilinda imekua kazi , inshort Africa yote ni makubwa jinga
 
Back
Top Bottom