Kinachotokea Congo ni mapinduzi ya Kijeshi, hakuna cha kuzuia hili kutokea

Kinachotokea Congo ni mapinduzi ya Kijeshi, hakuna cha kuzuia hili kutokea

Umeona mbali mkuu. Kura za wananchi zinapopuuzwa, huleta uasi. Yaani watu wanasubiri mtu wa kulianzisha. Wanajeshi hawana mpango wa kupigana ni kama vile wameamua kuangusha serikali.
Ndo maana Tanzania na East Africa Community haitakiwi kupeleka majeshi Kongo, let them fix their problems.
 
DRC hakuna kiongozi atafanikiwa kuleta maendeleo wakati Kuna vikundi vya uasi kila siku.
Wanaofadhili vikundi (magharibi) siku wakichoka kupora maliasili DRC vikundi vyote vitakufa, amani itarejea maendeleo yataanza kuonekana taratibu.
Ina maana kuruhusu magharibi kuhusika hilo ni kosa lao ina maana mifumo yao ni dhaifu ndo maana mtu yoyote anaweza kuja from nowhere na kuanza kufadhili watu wapigane
 
Sioni tatizo kama Kabila yupo nyuma ya Uasi huo unapendelea huko DRC, Hoja ya Msingi hapa ni: Je, kuna sababu za msingi ambazo zipo nyuma ya Uasi huu? Waasi hao wanazo Hoja za msingi na hoja zenye mashiko juu ya Uasi wao?

Hivi ni kwa nini hasa Watawala walioshindwa waachwe tu hivi hivi waendelee kuihujumu nchi na Wananchi wake?

WaCongomani wana haki ya kuwakataa Watawala wao ambao hawawajibiki kwao.

"Njia pekee ambayo Wananchi wataitumia katika kuzungumza au kujadiliana na Watawala wao ambao ni Madikteta ili kufikia muafaka wenye maslahi kwa pande zote Mbili."
Jefss O'Brien
Tshesekedi must go, there should be one person to unity all the rebel groups in one common specific course.
 
Mtoto wa Mzee Museveni nae anasema anataka kwenda kuiteka Ituri daah...😁😆 Tshisekedi naona kipara kinazidi kupata moto.
Congo ni shamba la bibi kila mtu anataka kuchuma matunda, nobody to ask
 
Mimi nashindwa kuelewa kwanini Nchi kama DRC nashindwa kuwa na Jeshi madhubuti wakati ina resources nyingi mpaka wanashindwa kuvalisha jeshi?kama wataweza kuwalisha??Acha viongozi watolewe!
 
Alikaa na makundi yote wakajadili at least wakakubaliana kwa baadhi ya vitu nchi ikatulia. Na hiyo ndo kazi ya Rais, Tshesekedi ameshindwa hata kuhudhuria kikao tu cha majadiliano eti katuma mwakilishi yeye kaenda Ulaya
Wewe ungekaa na makundi ya wahuni km yale?
 
Kuachana na propaganda zote zinazoendelea kuwa Kagame anasaidia waasi kuiharibu Congo, ukweli ni kwamba Congo is a failed state. Huu ni mwaka 2025, Congo haina mifumo yoyote ya kusaidia kuiongoza nchi.

Jeshi la Congo ni dhaifu, tumeshuhudia picha za wanajeshi wa Congo wakiwa peku, wengine hawana uniform wala vitendea kazi ambavyo kimsingi vinatakiwa kutolewa na serikali.

Congo haina barabara, umeme, maji, hospitali Wala shule hivyo hata wananchi wa Congo hawana elimu kwaiyo wakati mwingine wanawezakuoneka kama ni vichaa wasojua wanachotaka.

Tshisekedi siyo mzalendo Wala hana nia ya dhati ya kusaidia Congo kuwa taifa lenye heshima na kujiweza kiuchumi.

Kwaiyo kinachoendelea Congo ni mapinduzi ya KIJESHI maana wananchi wamewaelewa M23 kwakua serikali ipo mbali hivyo tegemeo lao ni hao wanaowaona. M23 kila wanapopita wanashangiliwa na kupewa support na wananchi.

Majeshi yetu na ushirika wa East Africa Community hamuwezi kuzuia wananchi wa Congo kuijenga upya nchi yao.

Tukae kimya, kila nchi ilinde mipaka yake, acheni M23 na raia wa Congo waijenge nchi yao, wwpeni support wale wanaotakiwa na wananchi.

Inapendeza pale Congo itakapopata Rais atakayekiwa mzalendo, ajenge mifumo ya nchi, aimarishe jeshi, ajenge barabara, shule, hospitali, na miundombinu yote Ili tushirikiane vizuri.

View attachment 3237738
Madini yote ya Congo huwa yanafanya kaxi Gani hiko Congo?
 
M23 HAIWEZI kuitawala Congo DR. Hao ni wahuni wanaowachezea viongozi waliolala. Wakiamka hamna cha M23 wala Kagame. Ni suala la muda tu.
Kongo ni taifa lililo feli...halina jeshi,wala serikali,viongozi wote hao hata Tschekedi mwenyewe ni walewale...wamejaa ubinsfsi...

Wakongo wenyewe nao pia hawajielewi...nchi imejaa watu ambao hawajui wafanye nini...wanaweza kulialia tuu kwenye muziki
 
Wewe upo concerned na Umwamba wa waTutsi? Je hao wanajeshi wa Tanzania wanaokufa huoni, kwa nini usijihusishe na kupinga Samia kupeleka majeshi Congo? Au awarudishe ndugu zetu wanajeshi warudi?
Jeshi halipigani liko kulinda amani, yaani hawako upande wa serikali wala m23.
Sijui unaelewa hili?
 
Jeshi halipigani liko kulinda amani, yaani hawako upande wa serikali wala m23.
Sijui unaelewa hili?
Wanalinda Amani isiyokuwepo, unalindaje kitu ambacho hakipo?
 
Jeshi halipigani liko kulinda amani, yaani hawako upande wa serikali wala m23.
Sijui unaelewa hili?
Utawala wa Tsishekedi hautendi haki kwa Wananchi wengi wa nchi hiyo, hususani wale waishio kwenye upande wa Magharibi mwa nchi hiyo ya DRC. Serikali ya huko inafanya Siasa mbaya za kuwabagua na kuwagawa Watu.
Hivyo, kupeleka Wanajeshi kwenda kulinda au kuutetea Utawala wa Tsishekedi ni kumuunga mkono mhalifu na uhalifu kwa sababu hata Wananchi wa huko hawaungi mkono Utawala wao wa nchi uliopo huko. Wananchi wengi wa huko wanawaunga mkono Waasi wa M23.
 
Wanalinda Amani isiyokuwepo, unalindaje kitu ambacho hakipo?
Kazi yao kubwa ni kama waamuzi wa mpira, wanahakikisha sheria za vita zinafuata, pakiwa na ukiukwaji wao ndio watoa taarifa.

Vinginevyo upande mmoja unawrza kutumia mbinu chafu mfano kutumia silaha za sumu au kutesa raia
 
Back
Top Bottom