Upekuzi101
JF-Expert Member
- Aug 28, 2020
- 221
- 542
- Thread starter
-
- #61
Ndo maana Tanzania na East Africa Community haitakiwi kupeleka majeshi Kongo, let them fix their problems.Umeona mbali mkuu. Kura za wananchi zinapopuuzwa, huleta uasi. Yaani watu wanasubiri mtu wa kulianzisha. Wanajeshi hawana mpango wa kupigana ni kama vile wameamua kuangusha serikali.
Ina maana kuruhusu magharibi kuhusika hilo ni kosa lao ina maana mifumo yao ni dhaifu ndo maana mtu yoyote anaweza kuja from nowhere na kuanza kufadhili watu wapiganeDRC hakuna kiongozi atafanikiwa kuleta maendeleo wakati Kuna vikundi vya uasi kila siku.
Wanaofadhili vikundi (magharibi) siku wakichoka kupora maliasili DRC vikundi vyote vitakufa, amani itarejea maendeleo yataanza kuonekana taratibu.
Siwezishangaa kusikia hilo, nategemea kulisikia Hilo kwenye vyombo vya habari hivi karibuniTshked kashakimbilia ujerumani...
Tshesekedi must go, there should be one person to unity all the rebel groups in one common specific course.Sioni tatizo kama Kabila yupo nyuma ya Uasi huo unapendelea huko DRC, Hoja ya Msingi hapa ni: Je, kuna sababu za msingi ambazo zipo nyuma ya Uasi huu? Waasi hao wanazo Hoja za msingi na hoja zenye mashiko juu ya Uasi wao?
Hivi ni kwa nini hasa Watawala walioshindwa waachwe tu hivi hivi waendelee kuihujumu nchi na Wananchi wake?
WaCongomani wana haki ya kuwakataa Watawala wao ambao hawawajibiki kwao.
"Njia pekee ambayo Wananchi wataitumia katika kuzungumza au kujadiliana na Watawala wao ambao ni Madikteta ili kufikia muafaka wenye maslahi kwa pande zote Mbili."
Jefss O'Brien
He is not serious at allHata rais inasemekana hayupo yupo ughaibuni huko
Congo ni shamba la bibi kila mtu anataka kuchuma matunda, nobody to askMtoto wa Mzee Museveni nae anasema anataka kwenda kuiteka Ituri daah...😁😆 Tshisekedi naona kipara kinazidi kupata moto.
Nangaa ni AFCKumbe Nangaa sio m 23?
Hamjui Nanga vizuri, Wala hajui kinachoendeleaNangaa ni AFC
Wewe ungekaa na makundi ya wahuni km yale?Alikaa na makundi yote wakajadili at least wakakubaliana kwa baadhi ya vitu nchi ikatulia. Na hiyo ndo kazi ya Rais, Tshesekedi ameshindwa hata kuhudhuria kikao tu cha majadiliano eti katuma mwakilishi yeye kaenda Ulaya
Madini yote ya Congo huwa yanafanya kaxi Gani hiko Congo?Kuachana na propaganda zote zinazoendelea kuwa Kagame anasaidia waasi kuiharibu Congo, ukweli ni kwamba Congo is a failed state. Huu ni mwaka 2025, Congo haina mifumo yoyote ya kusaidia kuiongoza nchi.
Jeshi la Congo ni dhaifu, tumeshuhudia picha za wanajeshi wa Congo wakiwa peku, wengine hawana uniform wala vitendea kazi ambavyo kimsingi vinatakiwa kutolewa na serikali.
Congo haina barabara, umeme, maji, hospitali Wala shule hivyo hata wananchi wa Congo hawana elimu kwaiyo wakati mwingine wanawezakuoneka kama ni vichaa wasojua wanachotaka.
Tshisekedi siyo mzalendo Wala hana nia ya dhati ya kusaidia Congo kuwa taifa lenye heshima na kujiweza kiuchumi.
Kwaiyo kinachoendelea Congo ni mapinduzi ya KIJESHI maana wananchi wamewaelewa M23 kwakua serikali ipo mbali hivyo tegemeo lao ni hao wanaowaona. M23 kila wanapopita wanashangiliwa na kupewa support na wananchi.
Majeshi yetu na ushirika wa East Africa Community hamuwezi kuzuia wananchi wa Congo kuijenga upya nchi yao.
Tukae kimya, kila nchi ilinde mipaka yake, acheni M23 na raia wa Congo waijenge nchi yao, wwpeni support wale wanaotakiwa na wananchi.
Inapendeza pale Congo itakapopata Rais atakayekiwa mzalendo, ajenge mifumo ya nchi, aimarishe jeshi, ajenge barabara, shule, hospitali, na miundombinu yote Ili tushirikiane vizuri.
View attachment 3237738
Kongo ni taifa lililo feli...halina jeshi,wala serikali,viongozi wote hao hata Tschekedi mwenyewe ni walewale...wamejaa ubinsfsi...M23 HAIWEZI kuitawala Congo DR. Hao ni wahuni wanaowachezea viongozi waliolala. Wakiamka hamna cha M23 wala Kagame. Ni suala la muda tu.
Wizi na UfisadiMadini yote ya Congo huwa yanafanya kaxi Gani hiko Congo?
Jeshi halipigani liko kulinda amani, yaani hawako upande wa serikali wala m23.Wewe upo concerned na Umwamba wa waTutsi? Je hao wanajeshi wa Tanzania wanaokufa huoni, kwa nini usijihusishe na kupinga Samia kupeleka majeshi Congo? Au awarudishe ndugu zetu wanajeshi warudi?
Wanalinda Amani isiyokuwepo, unalindaje kitu ambacho hakipo?Jeshi halipigani liko kulinda amani, yaani hawako upande wa serikali wala m23.
Sijui unaelewa hili?
Utawala wa Tsishekedi hautendi haki kwa Wananchi wengi wa nchi hiyo, hususani wale waishio kwenye upande wa Magharibi mwa nchi hiyo ya DRC. Serikali ya huko inafanya Siasa mbaya za kuwabagua na kuwagawa Watu.Jeshi halipigani liko kulinda amani, yaani hawako upande wa serikali wala m23.
Sijui unaelewa hili?
Kazi yao kubwa ni kama waamuzi wa mpira, wanahakikisha sheria za vita zinafuata, pakiwa na ukiukwaji wao ndio watoa taarifa.Wanalinda Amani isiyokuwepo, unalindaje kitu ambacho hakipo?
Majeshi yetu na ushirika wa East Africa Community hamuwezi kuzuia wananchi wa Congo kuijenga upya nchi yao.Kuachana na propaganda zote zinazoendelea kuwa Kagame anasaidia waasi kuiharibu Congo, ukweli ni kwamba Congo is a failed state. Huu ni mwaka 2025, Congo haina mifumo yoyote ya kusaidia kuiongoza nchi.