Unakosea mkuu.Tukae kimya, kila nchi ilinde mipaka yake, acheni M23 na raia wa Congo waijenge nchi yao, wwpeni support wale wanaotakiwa na wananchi.
Majeshi yetu na ushirika wa East Africa Community hamuwezi kuzuia wananchi wa Congo kuijenga upya nchi yao.
AbsolutelyTukae kimya, kila nchi ilinde mipaka yake, acheni M23 na raia wa Congo waijenge nchi yao, wwpeni support wale wanaotakiwa na wananchi.
Nilishauri hivi humuhumu, jamaa akaniambia nakosea kwa sababu congo ni mshirika wa tz kibiashara (bandari), na akasema yafaa tz iinunue kesi kwa kupeleka full scale.. Matatizo ya waafrika yanatengenezwa na viongozi WAPUMBAVU wa afrika.Ndo maana Tanzania na East Africa Community haitakiwi kupeleka majeshi Kongo, let them fix their problems.
Hilo la kuiteka haliwezekaniki Mzee Miaka elf 10hayo mamb kayaanzisha Tshiked au ameyakuta ? je anawezaj kuyamaliza kwenye miaka 5 tu wkt huo anapambana na vikundi almost 100 , yanayoendelea DRC soon yatatapakaa ukanda huu mzima na watakuja na story nyingine kulingana na nchi husika , huez nambia hao watutsi wameanza baguliwa mwaka 1997 ila miaka mingine yote waliishi vzr ( chini ya adui yao Mobutu ) , tuliingia kweny ukoloni hv hv , HILO NI TATIZO LA BWANA HERI SIO TATIZO LETU WAHEHE , MPK MZUNGU ANAITEKA TANGANYIKA NDIPO TUNAPATA AKILI , WATUTSI ( SIO WABANTU HAWA ) WANAPAMBANA KUTUTEKA WABANTU MDG MDG BAADA YA DRC NEXT IS TANZANIA THEN WATAKUWA STRONG KUMWAMLISHA YEYOTE UKANDA HUU WA MASHARIKI , KUSINI NA KATI YA AFRIKA , TUWE MAKINI
Kumsaidia mhalifu na wewe pia unakuwa mhalifu pia.Nilishauri hivi humuhumu, jamaa akaniambia nakosea kwa sababu congo ni mshirika wa tz kibiashara (bandari), na akasema yafaa tz iinunue kesi kwa kupeleka full scale.. Matatizo ya waafrika yanatengenezwa na viongozi WAPUMBAVU wa afrika.
Kumsaidia mhalifu na wewe pia unakuwa sehemu ya mhalifu pia.Nilishauri hivi humuhumu, jamaa akaniambia nakosea kwa sababu congo ni mshirika wa tz kibiashara (bandari), na akasema yafaa tz iinunue kesi kwa kupeleka full scale.. Matatizo ya waafrika yanatengenezwa na viongozi WAPUMBAVU wa afrika.
Lakin wanaoisapot M23 wao waruhusiwe kwakuwa wao ni watakatifu.Ndo maana Tanzania na East Africa Community haitakiwi kupeleka majeshi Kongo, let them fix their problems.
tsishekedi ni mbeleji ni mpuuzi haswaaKuachana na propaganda zote zinazoendelea kuwa Kagame anasaidia waasi kuiharibu Congo, ukweli ni kwamba Congo is a failed state. Huu ni mwaka 2025, Congo haina mifumo yoyote ya kusaidia kuiongoza nchi.
Jeshi la Congo ni dhaifu, tumeshuhudia picha za wanajeshi wa Congo wakiwa peku, wengine hawana uniform wala vitendea kazi ambavyo kimsingi vinatakiwa kutolewa na serikali.
Congo haina barabara, umeme, maji, hospitali Wala shule hivyo hata wananchi wa Congo hawana elimu kwaiyo wakati mwingine wanawezakuoneka kama ni vichaa wasojua wanachotaka.
Tshisekedi siyo mzalendo Wala hana nia ya dhati ya kusaidia Congo kuwa taifa lenye heshima na kujiweza kiuchumi.
Kwaiyo kinachoendelea Congo ni mapinduzi ya KIJESHI maana wananchi wamewaelewa M23 kwakua serikali ipo mbali hivyo tegemeo lao ni hao wanaowaona. M23 kila wanapopita wanashangiliwa na kupewa support na wananchi.
Majeshi yetu na ushirika wa East Africa Community hamuwezi kuzuia wananchi wa Congo kuijenga upya nchi yao.
Tukae kimya, kila nchi ilinde mipaka yake, acheni M23 na raia wa Congo waijenge nchi yao, wwpeni support wale wanaotakiwa na wananchi.
Inapendeza pale Congo itakapopata Rais atakayekiwa mzalendo, ajenge mifumo ya nchi, aimarishe jeshi, ajenge barabara, shule, hospitali, na miundombinu yote Ili tushirikiane vizuri.
View attachment 3237738
Mlima unaangukaš³Hayo madini mapya yalivyo onekana kwenye ule mlima ulio anguka nilijua kinachofuatia Congo ni vita.
Hapo tatizo ni hayo madini yao. Congo ni tajiri sana ila pia ni masikini sana. Africa tuna safari ndefu
Acha waikamate Congo na wao wachore ramani ya nchi yao upya, Congo hakuna mfumo na waliopo wameshindwa kujenga mifumoLakin wanaoisapot M23 wao waruhusiwe kwakuwa wao ni watakatifu.
Hayo mazingira walitengenezewa tangu wanakaribia kupata Uhuru na baada tu ya uhuru.Ina maana kuruhusu magharibi kuhusika hilo ni kosa lao ina maana mifumo yao ni dhaifu ndo maana mtu yoyote anaweza kuja from nowhere na kuanza kufadhili watu wapigane
Hayo mazingira walitengenezewa tangu wanakaribia kupata Uhuru na baada tu ya uhuru.
Unafahamu Patrice Lumumba aliuwawa na nani na Mobutu aliingiaje madarakani?
Hata Tanganyika tungetengenezewa mazingira hayo toka siku ya uhuru tungekuwa na vurugu hadi leo.
Dhambi ya Patrick Lumumba haitaiacha DRC salama,Mobutu alijinufaisha badala ya kujenga nchi na kuwa na jeshi imara,toka enzi Mobutu jeshi la Kongo lilikuwa halina unifom,hawalipwi mshahara walikuwa wanajilipa kwa kupora wananchi.