Kinachotokea kwa Diamond Platnumz sasa hivi

Kinachotokea kwa Diamond Platnumz sasa hivi

Uchawi sio lazima uvae mitunguli na mihirizi, ukisikia uchawi ndio huu, ni wivu, wivu na roho mbaya ya kiwango cha juu kabisa. Anachofanya Diamond wewe kinakuhusu nini? Yaani umekaa kabisa, kuwaza na kuwazua hadi kuandika uzi wa kum dis Diamond? Wewe unaweza kufanya alichofanya Diamond? Unaweza kuifikia rekodi ya mambo aliyoyafanya Diamond? Unaweza hata kuandika wimbo mmoja? Wewe umeshatoa album ngapi? Hakuna mwanamuziki mwenye mafanikio aliyewahi kutokea Tanzania zaidi ya Diamond, hakuna!
 
ahaaaa kumbe ndiyo maana alikuwa anam ng'ang'ania yule mmakonde abaki kwenye lebo yake, kumbe uwezo wake mdogoo!!!
 
people are talking like they owe this musician anything

yaani utadhani nyie ndio mlimuajiri hivyo mpo hapa kutoa verdict kwa kijakazi wenu

ndugu zanguni jifunzeni kutokujimilikisha watu na maisha yao

let him be kama wewe unavyotaka wanadamu wasikuingilie maisha yako

nyie hamtaki kuumizwa ila mnapenda kuumiza wenzenu kama mmewaumba nyie vile

akistop music ni uamuzi wake,sasa sijui kwanini watu mnakua worked out namna hii aisee?
Bila udambwi dambwi wetu hatasikika
 
Hapa tu kuujadili huu wimbo , wengine hatujajua kama mwamba katoa ngoma tukakimbilia YouTube kuangalia kumbe tupo tunamlipa bila kujua, daaah yan akipondwa hela zinaingia , akisifiwa zinaingia ! Hata hivyo jamaa mpambanaji kukosea kupo [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
Mashabiki wengi wa Diamond Platnumz aka Simba watakua sasa wanajiuliza kimetokea nini kwa msanii wao pendwa kutoa ngoma za hadhi isiyotegemewa kutoka kwake.

Hasahasa mwaka huu tukianzia nyimbo ya Kamata, Gimmie na hii sasahivi ya Unachezaje ndo kabisaa haiendan na hadhi ya msanii tunayemjua na kibao chake kikali cha Jeje.

Inaonekana sasa hivi Chibu hatilii mkazo zaidi kwenye mziki kama ilivyokuwa miaka ya nyuma. Mkali huyu amekua akijiingiza zaidi kwenye biashara na madili ya pesa ndefu.

All in all, itoshe pia kusema kwamba Diamond aliyeitoa bongo fleva kimataifa ni yuleyule anaepitia kipindi kibovu sasahivi kwenye mziki, ni kwamba tu hajaamua kukaa chini na kutoa kazi kali ambazo tumekua tushazizoea kutoka kwake.

Alhamisi njema.
Moja ya ngoma mbovu kuwahi kutokea kwake. Huyu ndo anaishia kimziki, hata ivyo alipata umaarufu miaka 10 iliopita saiz upepo sio wake
 
Uchawi sio lazima uvae mitunguli na mihirizi, ukisikia uchawi ndio huu, ni wivu, wivu na roho mbaya ya kiwango cha juu kabisa. Anachofanya Diamond wewe kinakuhusu nini? Yaani umekaa kabisa, kuwaza na kuwazua hadi kuandika uzi wa kum dis Diamond? Wewe unaweza kufanya alichofanya Diamond? Unaweza kuifikia rekodi ya mambo aliyoyafanya Diamond? Unaweza hata kuandika wimbo mmoja? Wewe umeshatoa album ngapi? Hakuna mwanamuziki mwenye mafanikio aliyewahi kutokea Tanzania zaidi ya Diamond, hakuna!
Utakuwa shoga wewe hakituhusu mziki anamuimbia mama ake au bahasha wa mama ake?
 
Back
Top Bottom