Kinachotokea kwa Diamond Platnumz sasa hivi

Kinachotokea kwa Diamond Platnumz sasa hivi

Hapa tu kuujadili huu wimbo , wengine hatujajua kama mwamba katoa ngoma tukakimbilia YouTube kuangalia kumbe tupo tunamlipa bila kujua, daaah yan akipondwa hela zinaingia , akisifiwa zinaingia ! Hata hivyo jamaa mpambanaji kukosea kupo [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Nonsense
 
Hii ni takeu style mr nice karud tunarudishwa utoton mwisho wa ck ataturudisha tumbon
 
Asome upepo mapema kama ni hivyo aongeze juhudi kwingine, maana wakianzaga kushuka ni moja kwa moja.
 
Nasikia kafungua duka kubwa sana, pale mtaani kwao[emoji16][emoji16]
Aise!siyo mbaya basi 😂😂

Sema kibongobongo kwa wasanii jamaa kajitahidi kutengeneza pesa

Ova
 
December 2022.
Wasanii wenye views wengi kwa mwaka 2022 YouTube.
Wasanii wenye streams nyingi mwaka 2022 sportfy
Wasanii wenye streams nyingi Boom play.
Wasanii walioongoza kwa mauzo Africa Mashariki.
Wasanii wenye tuzo nyingi mwaka 2022.

UTASHANGAA ZOTE HIZO NAMBA MOJA NI DIAMOND PLATNUMZ.

Ndipo utajua hujui, huyu bwana ashavuka level ya kupotea, ni kama kina P square, wanapotea wakitoa ngoma wamerudi.
 
Watanzania ni watu wa hovyoo..nilimsikia muuza kahawa mmoja wa pale kigoma mjini meza ya duara karibu na soko la katubuka akisema...
 
Huku Jamii Forum hakuna mashabiki wa Mondi , Nenda Insta na Facebook [emoji2][emoji2][emoji2]jichanganye humo kwenye comment umponde mshikaji uone wanavyokushambulia !! Huku watu mnareason sana tatizo
 
Huyu ni MR NICE ALIYECHANGAMKA...alafu na Ile laana ya kumkataa Baba yake lazima imtafune Tu, haya ni mapigo kutoka Kwa MUNGU mwenyewe hakuna haja ya kumwonea huruma mwacheni atumikie adhabu yake
LAana yA BAbA YaKe
Huyo baba ana mamlaka gani ya kutoa laana? Kwasababu tu alichangia shahawa?
Wanaume hampendi kushiriki malezi ya watoto alafu baadae mtoto akikua mnapenda kujipeleka kujifanya baba mnamamlaka naye.
Mwenye laana ni huyo baba Diamond na wewe hapo,si Diamond. Diamond angekuwa na hiyo laana unayomtaka awe nayo asingefika hapo alipo.
Kalee watoto usisubirie wakue.
 
Un
LAana yA BAbA YaKe
Huyo baba ana mamlaka gani ya kutoa laana? Kwasababu tu alichangia shahawa?
Wanaume hampendi kushiriki malezi ya watoto alafu baadae mtoto akikua mnapenda kujipeleka kujifanya baba mnamamlaka naye.
Mwenye laana ni huyo baba Diamond na wewe hapo,si Diamond. Diamond angekuwa na hiyo laana unayomtaka awe nayo asingefika hapo alipo.
Kalee watoto usisubirie wakue.
Umeishia darasa la ngapi?
 
Kijana anatoa hits tu sasahivi kama mnataka sijui huo muziki mzuri kasikilizeni kwaya hapa ni mwendo wa hits tu, ataimba nini ambacho kwa career yake ya muongo mmoja bado hajakiimba? Hata hao mnaowasema wanaimba vizuri bado wanaimba yaleyale tu aliyoyaimba mondi
 
Anachokosea ni kukomaa na kina Laizer na estokizi sijui...hajiongezi kununua biti hata kwa Abba na the mix killer ambao ni hatari sana pia. Biti zilizoshiba za kisauzi na west Africa anaziangalia tu ye anakomaa na 'ayo laiza' na hawana jipya biti zao mulemule kila siku
 
Hahaha nyue hamumjui Diamond nyie. Akitoa wimbo hau"hit" hapohapo. Subirini kidooogo mtakuja kusema jamaa mchawi....
 
Ngoma ni kali sanA.
TAKEU STYLE imerudi tena kisasa zaidi.
Amegusa soko la watoto kipindi hiki cha xmass na mwaka mpya kila sherehe lazima upigwe.
 
Back
Top Bottom