ukikaidi utapigwa2
JF-Expert Member
- Feb 24, 2015
- 15,265
- 29,991
Yaani wabongo kila mawazo tofati yanatafsiriwa ni wivuUchawi sio lazima uvae mitunguli na mihirizi, ukisikia uchawi ndio huu, ni wivu, wivu na roho mbaya ya kiwango cha juu kabisa. Anachofanya Diamond wewe kinakuhusu nini? Yaani umekaa kabisa, kuwaza na kuwazua hadi kuandika uzi wa kum dis Diamond? Wewe unaweza kufanya alichofanya Diamond? Unaweza kuifikia rekodi ya mambo aliyoyafanya Diamond? Unaweza hata kuandika wimbo mmoja? Wewe umeshatoa album ngapi? Hakuna mwanamuziki mwenye mafanikio aliyewahi kutokea Tanzania zaidi ya Diamond, hakuna!