Kinachotokea kwa Diamond Platnumz sasa hivi

Uchawi sio lazima uvae mitunguli na mihirizi, ukisikia uchawi ndio huu, ni wivu, wivu na roho mbaya ya kiwango cha juu kabisa. Anachofanya Diamond wewe kinakuhusu nini? Yaani umekaa kabisa, kuwaza na kuwazua hadi kuandika uzi wa kum dis Diamond? Wewe unaweza kufanya alichofanya Diamond? Unaweza kuifikia rekodi ya mambo aliyoyafanya Diamond? Unaweza hata kuandika wimbo mmoja? Wewe umeshatoa album ngapi? Hakuna mwanamuziki mwenye mafanikio aliyewahi kutokea Tanzania zaidi ya Diamond, hakuna!
 
ahaaaa kumbe ndiyo maana alikuwa anam ng'ang'ania yule mmakonde abaki kwenye lebo yake, kumbe uwezo wake mdogoo!!!
 
Bila udambwi dambwi wetu hatasikika
 
Hapa tu kuujadili huu wimbo , wengine hatujajua kama mwamba katoa ngoma tukakimbilia YouTube kuangalia kumbe tupo tunamlipa bila kujua, daaah yan akipondwa hela zinaingia , akisifiwa zinaingia ! Hata hivyo jamaa mpambanaji kukosea kupo [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
Moja ya ngoma mbovu kuwahi kutokea kwake. Huyu ndo anaishia kimziki, hata ivyo alipata umaarufu miaka 10 iliopita saiz upepo sio wake
 
Utakuwa shoga wewe hakituhusu mziki anamuimbia mama ake au bahasha wa mama ake?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…