NonsenseHapa tu kuujadili huu wimbo , wengine hatujajua kama mwamba katoa ngoma tukakimbilia YouTube kuangalia kumbe tupo tunamlipa bila kujua, daaah yan akipondwa hela zinaingia , akisifiwa zinaingia ! Hata hivyo jamaa mpambanaji kukosea kupo [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Ni jirani zako kijijini kwenuHao uliowataja wanatokea mkoa gani hapa Tanzania?
Aise!siyo mbaya basi 😂😂Nasikia kafungua duka kubwa sana, pale mtaani kwao[emoji16][emoji16]
😂😂😂HARMONIZE kaondoka na daftar la nyimbo na rayvanny nae sikuhizi akimaliza kurecodi anaondoka na flash yake
LAana yA BAbA YaKeHuyu ni MR NICE ALIYECHANGAMKA...alafu na Ile laana ya kumkataa Baba yake lazima imtafune Tu, haya ni mapigo kutoka Kwa MUNGU mwenyewe hakuna haja ya kumwonea huruma mwacheni atumikie adhabu yake
Umeishia darasa la ngapi?LAana yA BAbA YaKe
Huyo baba ana mamlaka gani ya kutoa laana? Kwasababu tu alichangia shahawa?
Wanaume hampendi kushiriki malezi ya watoto alafu baadae mtoto akikua mnapenda kujipeleka kujifanya baba mnamamlaka naye.
Mwenye laana ni huyo baba Diamond na wewe hapo,si Diamond. Diamond angekuwa na hiyo laana unayomtaka awe nayo asingefika hapo alipo.
Kalee watoto usisubirie wakue.