Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Zaidi ya Ndege 232 zilizotarajiwa kuondoka kwenye viwanja vya ndege (Departure) nchini Uingereza na ndege zaidi 271 zilizotaka kutua (landing) kwenye viwanja hivyo zimezuiwa kufanya hivyo kutokana na matatizo ya mifumo ya kuongozea ndege nchini humo.
Tatizo hilo la kuzuiwa kwa ndege hizo kutua au kuruka, linasemwa limeathiri usafiri wa anga dunia nzima.
Hivi tatizo hili kama lingekuwa limetokea Urusi, jee usafiri wa anga dunia nzima ungeathirika?
Tatizo hilo la kuzuiwa kwa ndege hizo kutua au kuruka, linasemwa limeathiri usafiri wa anga dunia nzima.
Hivi tatizo hili kama lingekuwa limetokea Urusi, jee usafiri wa anga dunia nzima ungeathirika?