Kinachotokea sasa hivi London kama kingetokea Moscow dunia bado ingeathirika?

MTZ 255Dar umenichekesha sana.

Damu ya dunia kumbe haipiti kwenye mishipa ya taifa letu kiasi kwamba hatuhisi chochote.
 
Nimezaliwa Ocean Road. Sasa sijui pale ni mjini au Vipi??

Dunia ni duniani wanakoishi wenye dunia.

Wale waliokaa Berlin na kujigawia Africa ndiyo dunia.
Na wewe ni kama Manara au Kidoti?

Huyu kazaliwa uholanzi na yule marekani... lakini wanaishi swekeni...!

Kuzaliwa Ocean Road sio ishu tena siku hizi! Wengine watoto wao wana enda jifungulia Ulaya na marekani ili wapate utaifa wa hizo nchi kama wakina Lisu nk...!
 
Usichukulie Kila kitu siriasi... 😂😂😂

Niliyemjibu kwani aliandikaje? Jibu hutokana na swali au hoja.
 
Nimezaliwa Ocean Road. Sasa sijui pale ni mjini au Vipi??

Dunia ni duniani wanakoishi wenye dunia.

Wale waliokaa Berlin na kujigawia Africa ndiyo dunia.
Hajui kama Vasco da gama ndio binadamu wa kwanza kugundua bara la afrika
 
Na wewe ni kama Manara au Kidoti?

Huyu kazaliwa uholanzi na yule marekani... lakini wanaishi swekeni...!

Kuzaliwa Ocean Road sio ishu tena siku hizi! Wengine watoto wao wana enda jifungulia Ulaya na marekani ili wapate utaifa wa hizo nchi kama wakina Lisu nk...!
Yeye sio mshamba kama alivyotangazwa.
 
Uingereza ni mdogo sana ka Russia.
Acheni ujinga.

Kudeal na Russia Uingereza na jirani zake wote waungane halafu ninlazima wapate msaada wa KIRANJA USA.

MTU PEKEE WA KUMDHIBITI RUSSIA NI US AND VICEVERSA
 
Back
Top Bottom