Kinachotokea sasa hivi London kama kingetokea Moscow dunia bado ingeathirika?

Kinachotokea sasa hivi London kama kingetokea Moscow dunia bado ingeathirika?

Haijaelezwa kwa undani Lakini imebidi waongoze ndege "Manually" na ulaya yote tayari imeshaathirika na kama Leo wakishindwa kurudia "Automation system" dunia itakumbwa na mtikisiko mkubwa!!
Yani we jamaa banah!
 
London ni mojawapo ya financial centers za dunia
Sijaelewa mantiki ya muuliza swali ni nini, ila naona limekaa kishabiki sana.

London hata wauza unga wanaiheshimu. Wanakuambia ndio heart of their industry huku New York ni brain.
 
Jiulize kwa nn russia haijawahi kuwa mwanachama wa jumuia ya ulaya EU,na haikuiingiza hela yake kwenye euro na nchi za ulaya magharibi ikiwemo uingereza zimeunda umoja wa kujihami dhidi ya russia wakishirikiana na marekani ndo utajua russia ina nguvu kiasi gani na haitegemei hayo mataifa kwa kiasi gani

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
 
Zaidi ya Ndege 232 zilizotarajiwa kuondoka kwenye viwanja vya ndege (Departure) nchini Uingereza na ndege zaidi 271 zilizotaka kutua (landing) kwenye viwanja hivyo zimezuiwa kufanya hivyo kutokana na matatizo ya mifumo ya kuongozea ndege nchini humo.

Tatizo hilo la kuzuiwa kwa ndege hizo kutua au kuruka, linasemwa limeathiri usafiri wa anga dunia nzima.

Hivi tatizo hili kama lingekuwa limetokea Urusi, jee usafiri wa anga dunia nzima ungeathirika?
Nchi imejaa wajinga sana hii
 
Back
Top Bottom