Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Usafir wa anga hapa bongo umeathirika vp???Zaidi ya Ndege 232 zilizotarajiwa kuondoka kwenye viwanja vya ndege (Departure) nchini Uingereza na ndege zaidi 271 zilizotaka kutua (landing) kwenye viwanja hivyo zimezuiwa kufanya hivyo kutokana na matatizo ya mifumo ya kuongozea ndege nchini humo.
Tatizo hilo la kuzuiwa kwa ndege hizo kutua au kuruka, linasemwa limeathiri usafiri wa anga dunia nzima.
Hivi tatizo hili kama lingekuwa limetokea Urusi, jee usafiri wa anga dunia nzima ungeathirika?
Umechelewa kuja mjini wewe au iliwahi mno
Kwani Russia yenyewe imethirika vip na uo mfumo kwa London kufail?Zaidi ya Ndege 232 zilizotarajiwa kuondoka kwenye viwanja vya ndege (Departure) nchini Uingereza na ndege zaidi 271 zilizotaka kutua (landing) kwenye viwanja hivyo zimezuiwa kufanya hivyo kutokana na matatizo ya mifumo ya kuongozea ndege nchini humo.
Tatizo hilo la kuzuiwa kwa ndege hizo kutua au kuruka, linasemwa limeathiri usafiri wa anga dunia nzima.
Hivi tatizo hili kama lingekuwa limetokea Urusi, jee usafiri wa anga dunia nzima ungeathirika?
Nimezaliwa Ocean Road. Sasa sijui pale ni mjini au Vipi??Umechelewa kuja mjini wewe au iliwahi mno
Nani anauza? Kila mwafrika anauza vya kwetu?Vya kwetu tunauza tunabaki kushabikia vya wenzetu.
Mwafrika...!
Aisee!!Kwani Russia yenyewe imethirika vip na uo mfumo kwa London kufail?
Delay za ndege sababu ya connectionUsafir wa anga hapa bongo umeathirika vp???
Haijaelezwa kwa undani Lakini imebidi waongoze ndege "Manually" na ulaya yote tayari imeshaathirika na kama Leo wakishindwa kurudia "Automation system" dunia itakumbwa na mtikisiko mkubwa!!Hackers wamefanya yao tayari?