Kinachotokea sasa hivi London kama kingetokea Moscow dunia bado ingeathirika?

Sasa mambo ya ndege na Urusi unatuuliza sisi wa mtama ndani ndani huku tutajuaje? Ndege yenyewe hatujawahi hata kuiona
 
Tanzania imeathirika ki vipi ?
Yap!! Swali zuri sana.

Inawezekana wengi wanawaza jee ndege za kutoka Dar kwenda Chamwino zimeathirikaje!!

Huwezi kutaja usafiri wa anga bila ya kutaja abiria wa usafiri huo.

Kwa mfano mtu alitaka aende Dodoma na kisha arudi Dar Ili usiku huu aende Uingereza.

Jee atakwenda Dodoma bila ya kujua hatima ya safari yake ya kwenda Uingereza?

Na kama kwenye orodha ya abiria wa kwenda Dodoma wengine walitakiwa watoke kwenye ndege zinazokuja Dar kupitia London itakuwaje?
 
Come with data sio porojo
 
Tujadili kwanza udhaifu wa Mifumo hiyo tusihamishe magoli
 
Wewe jamaa upo??

Nilidhani umehamishwa kitengo...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nipo Mkuu

naangalia habari hapa, imeelezwa wananchi wengi wanataka elimu ya Katiba mpya inatakiwa itolewe kwa miaka mitatu kuanzia mwaka huu na baada ya hapo ndio tujadili Katiba mpya

sasa ama Uchaguzi mkuu uahirishwe au twende na Katiba hii 2025 huku Jamaa zetu wakisema bila ya Katiba mpya hawatashiriki uchaguzi

Hata mimi naunga mkono tuanze kwanza kuelimisha Umma umuhimu wa Katiba mpya, na ikikupendeza niombee niwemo kwny kikosi kazi hiki kwa miezi 36 kutokana na uzalendo na uzoefu wangu kwny masuala ya Siasa
 
Moscow imefunga airports zake mbili Sheremetyevo na Domodedovo juzi baada ya shambulio la drones za Ukraine. Ni mara ya tatu viwanja hivyo vinafungwa kwa sababu ya drones, huna habari sababu havina athari duniani
 

What is your point?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…