Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
- Thread starter
-
- #61
kwa akili hizi za uwekezaji tutawekeza kila kitu maana itakuwa ni mtindo mpya wa maishaVya kwetu tunauza tunabaki kushabikia vya wenzetu.
Mwafrika...!
Tatizo ni mapungufu ya watu wetu. Ila uwekezaji siyo dhambi!!kwa akili hizi za uwekezaji tutawekeza kila kitu maana itakuwa ni mtindo mpya wa maisha
Na wewe ni kama Manara au Kidoti?Nimezaliwa Ocean Road. Sasa sijui pale ni mjini au Vipi??
Dunia ni duniani wanakoishi wenye dunia.
Wale waliokaa Berlin na kujigawia Africa ndiyo dunia.
Usichukulie Kila kitu siriasi... 😂😂😂Na wewe ni kama Manara au Kidoti?
Huyu kazaliwa uholanzi na yule marekani... lakini wanaishi swekeni...!
Kuzaliwa Ocean Road sio ishu tena siku hizi! Wengine watoto wao wana enda jifungulia Ulaya na marekani ili wapate utaifa wa hizo nchi kama wakina Lisu nk...!
Hajui kama Vasco da gama ndio binadamu wa kwanza kugundua bara la afrikaNimezaliwa Ocean Road. Sasa sijui pale ni mjini au Vipi??
Dunia ni duniani wanakoishi wenye dunia.
Wale waliokaa Berlin na kujigawia Africa ndiyo dunia.
Hapana
Kuna maradhi hata hayajulikani, kwani russia wamemwambia wameathirika.Kwani Russia yenyewe imethirika vip na uo mfumo kwa London kufail?
Nimeshangaa!Kuna maradhi hata hayajulikani, kwani russia wamemwambia wameathirika.
Yaani ile vita inawauma mpaka wanafananisha urusi na vitu vya kijinga.Urusi anajulikana kwa vita Uungereza waendeleze urubani.Na armsterdam watasemaje sijui.Nimeshangaa!
Yeye sio mshamba kama alivyotangazwa.Na wewe ni kama Manara au Kidoti?
Huyu kazaliwa uholanzi na yule marekani... lakini wanaishi swekeni...!
Kuzaliwa Ocean Road sio ishu tena siku hizi! Wengine watoto wao wana enda jifungulia Ulaya na marekani ili wapate utaifa wa hizo nchi kama wakina Lisu nk...!
Ww unahela ya kwenda Russia?Nani aende Russia na kufanya nini?