Kinachotushinda Wabantu kuchora na kupanga miji ni nini?

Kibosho1

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2017
Posts
2,621
Reaction score
4,293
Screenshot_20241025-095153.png
Unavyoona hapo siyo maua au mchoro wa kompyuta ni muonekano wa mji toka angani.

Screenshot_20241025-104802.png
Hivyo sio vibox ni plots zilizochorwa na kupimwa tayari. Yani miundombinu imetangulia kabla ya watu kuanza kuishi.

Mazingira haya utayaona kwa jamii nyingine lakini sio kwa Wabantu. Sisi tuna shida gani?
 
Unavyoona hapo siyo maua au mchoro wa kompyuta ni muonekano wa mji toka angani.

Hivyo sio vibox ni plots zilizochorwa na kupimwa tayari. Yani miundombinu imetangulia kabla ya watu kuanza kuishi.

Mazingira haya utayaona kwa jamii nyingine lakini sio kwa Wabantu. Sisi tuna shida gani?
Afisa mipango miji wanawaza kuuza viwanja popote hata barabarani. Shuleni, Kanisani, open space nk Hawatengi maeneo kulingana na mahitaji,maeneo ya (mapumziko) taasisi, biashara, makazi. Wanabadili matumizi ya eneo kulingana na pesa utakazowapa. Eneo lililotengwa shule/Kanisa, nk ukiwapa hela wanabadili ramani hapo hapo wanakupa kujenga mall, sheli nk
 
kwani ni lipi m'bantu analoweza, labda kuzaana kama panya. Mimi sio m'bantu Bali ni Mwebrania. Gal 3:29

JESUS IS LORD
 
Afisa mipango miji wanawaza kuuza viwanja popote hata barabarani. Shuleni, Kanisani, open space nk Hawatengi maeneo kulingana na mahitaji,maeneo ya (mapumziko) taasisi, biashara, makazi. Wanabadili matumizi ya eneo kulingana na pesa utakazowapa. Eneo lililotengwa shule/Kanisa, nk ukiwapa hela wanabadili ramani hapo hapo wanakupa kujenga mall, sheli nk
Afisa mipango miji hawezi kuanzisha tu mradi wa kupanga makazi bila budget wala back up ya wanasiasa. Kila kipande cha ardhi unachokiona mjini kina mwenyewe, lazima ufuate utaratibu wa kukitwaa ndio ukipange. Na hapo ndio picha linapoanza.

Lakini shida kubwa ilianza mara baada ya waswahili kuchukua nchi kutoka kwa wakoloni, mambo mengi yaliachwa yaende kwa kudra tu, miji mingi haina hata master plan, mwisho mazoea ya squatters yakajengeka.

Kurekebisha hilo tatizo itakuwa gharama sana na Mimi naona hilo litafanyika na vizazi vya mbele sana baada ya sisi kupotea kabisa.
 
Unavyoona hapo siyo maua au mchoro wa kompyuta ni muonekano wa mji toka angani.

Hivyo sio vibox ni plots zilizochorwa na kupimwa tayari. Yani miundombinu imetangulia kabla ya watu kuanza kuishi.

Mazingira haya utayaona kwa jamii nyingine lakini sio kwa Wabantu. Sisi tuna shida gani?
Siku kondoo wakijuwa kutumia vyoo, kila kitu watakiweza.

Unauliza swali kubwa namna hilo kwa kondoo ambao mpaka leo hawajuwi namna ya kutumia choo?

tafadhali watendee haki.
 
Hiyo mipangilio huwa kichwani mwa watu kama haipo basi hutaiona kwa hao watu kamwe!
 
Kuwa na watendaji wasio na maono wala uwezo
Hapa mtahani choo kikiharibika ukitaka kukijenga tu ni lazima upate kibari Kwa mjumbe sembuse nyumba na wanafanya hivi Ili kisimamia mpango mji wa eneo husika lakini ukiuangalia mtaa wenyewe uliivyo upo hovyo kabisa Sasa sijui wajumbe Huwa wanasimamia mchoro wa mpango mji Gani?(Watendaji)

Kipindi Cha Magifuli kulikuwa na ujengaji wa barabara za mitaa ndio nikaona plan iliyokuwako kabla ya mtaa lakini haikufuatishwa watu wemejenga wakaifuta kabisa barabara,watu wemejenga mpaka kwenye njia za maji afu wanalalamika mafuriko,serikali ikataka kubomoa watu wakabisha kuwa wao wapo Toka kitambo🤓
 
Afisa mipango miji hawezi kuanzisha tu mradi wa kupanga makazi bila budget wala back up ya wanasiasa. Kila kipande cha ardhi unachokiona mjini kina mwenyewe, lazima ufuate utaratibu wa kukitwaa ndio ukipange. Na hapo ndio picha linapoanza.

Lakini shida kubwa ilianza mara baada ya waswahili kuchukua nchi kutoka kwa wakoloni, mambo mengi yaliachwa yaende kwa kudra tu, miji mingi haina hata master plan, mwisho mazoea ya squatters yakajengeka.

Kurekebisha hilo tatizo itakuwa gharama sana na Mimi naona hilo litafanyika na vizazi vya mbele sana baada ya sisi kupotea kabisa.
Huruma na mipango ya mhe William Mkapa,.kuleta sera ya uboreshaji ardhi na makazi naona iliharibu sana. Watu walipojua ukivamia eneo unaboreshewa kukaa hapo hapo,, sasa nchi ni kama vichuguu vinavyoota hovyo, hovyo. Hakuna maeneo ya kupumzika/bustani kama mnazi mmoja Dsm. Mswahili mapumziko yetu ni vilabu vya pombe, vijiwe vya draft na vibanda vya Simba na Yanga.
 
Afisa mipango miji hawezi kuanzisha tu mradi wa kupanga makazi bila budget wala back up ya wanasiasa. Kila kipande cha ardhi unachokiona mjini kina mwenyewe, lazima ufuate utaratibu wa kukitwaa ndio ukipange. Na hapo ndio picha linapoanza.

Lakini shida kubwa ilianza mara baada ya waswahili kuchukua nchi kutoka kwa wakoloni, mambo mengi yaliachwa yaende kwa kudra tu, miji mingi haina hata master plan, mwisho mazoea ya squatters yakajengeka.

Kurekebisha hilo tatizo itakuwa gharama sana na Mimi naona hilo litafanyika na vizazi vya mbele sana baada ya sisi kupotea kabisa.
Kizazi Cha elfu 2000 na watu Fulani wa 90s wanaweza wakafanya kitu (Pakitokea mabadiliko ya kwlikweli)

Maana ni aibu mpaka watu waelfu wasiweze kufanya angalau ata kitu kama kupanga mji kwenye zama hizi tunazoona mataifa mengine wanavyokuwa makini juu ya vitu mbalimbali,

Japo Kuna watu wanapenda sana kuleta dharau juu ya wengine.(Kizazi Cha elfu 2000 kitaona aibu kwenye Dunia hii ya Sasa hivi na aibu itapelekea kujituma na kuweaka usahihi wa mambo japo ata Kwa udogp tu,kisha maboresha yatafuatia
 
Unavyoona hapo siyo maua au mchoro wa kompyuta ni muonekano wa mji toka angani.

Hivyo sio vibox ni plots zilizochorwa na kupimwa tayari. Yani miundombinu imetangulia kabla ya watu kuanza kuishi.

Mazingira haya utayaona kwa jamii nyingine lakini sio kwa Wabantu. Sisi tuna shida gani?
Unajitoa ufahamu kuwa hujui Samia na kundi lake ni watu wa namna gani? Wanashindwa kuendesha bandari ndiyo iwe kupanga miji?
 
Back
Top Bottom