Kibosho1
JF-Expert Member
- Dec 12, 2017
- 2,621
- 4,293
Mazingira haya utayaona kwa jamii nyingine lakini sio kwa Wabantu. Sisi tuna shida gani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Afisa mipango miji wanawaza kuuza viwanja popote hata barabarani. Shuleni, Kanisani, open space nk Hawatengi maeneo kulingana na mahitaji,maeneo ya (mapumziko) taasisi, biashara, makazi. Wanabadili matumizi ya eneo kulingana na pesa utakazowapa. Eneo lililotengwa shule/Kanisa, nk ukiwapa hela wanabadili ramani hapo hapo wanakupa kujenga mall, sheli nkUnavyoona hapo siyo maua au mchoro wa kompyuta ni muonekano wa mji toka angani.
Hivyo sio vibox ni plots zilizochorwa na kupimwa tayari. Yani miundombinu imetangulia kabla ya watu kuanza kuishi.
Mazingira haya utayaona kwa jamii nyingine lakini sio kwa Wabantu. Sisi tuna shida gani?
kwani ni lipi m'bantu analoweza, labda kuzaana kama panya. Mimi sio m'bantu Bali ni Mwebrania. Gal 3:29Unavyoona hapo siyo maua au mchoro wa kompyuta ni muonekano wa mji toka angani.
Hivyo sio vibox ni plots zilizochorwa na kupimwa tayari. Yani miundombinu imetangulia kabla ya watu kuanza kuishi.
Mazingira haya utayaona kwa jamii nyingine lakini sio kwa Wabantu. Sisi tuna shida gani?
Afisa mipango miji hawezi kuanzisha tu mradi wa kupanga makazi bila budget wala back up ya wanasiasa. Kila kipande cha ardhi unachokiona mjini kina mwenyewe, lazima ufuate utaratibu wa kukitwaa ndio ukipange. Na hapo ndio picha linapoanza.Afisa mipango miji wanawaza kuuza viwanja popote hata barabarani. Shuleni, Kanisani, open space nk Hawatengi maeneo kulingana na mahitaji,maeneo ya (mapumziko) taasisi, biashara, makazi. Wanabadili matumizi ya eneo kulingana na pesa utakazowapa. Eneo lililotengwa shule/Kanisa, nk ukiwapa hela wanabadili ramani hapo hapo wanakupa kujenga mall, sheli nk
Siku kondoo wakijuwa kutumia vyoo, kila kitu watakiweza.Unavyoona hapo siyo maua au mchoro wa kompyuta ni muonekano wa mji toka angani.
Hivyo sio vibox ni plots zilizochorwa na kupimwa tayari. Yani miundombinu imetangulia kabla ya watu kuanza kuishi.
Mazingira haya utayaona kwa jamii nyingine lakini sio kwa Wabantu. Sisi tuna shida gani?
Siku kondoo wakijuwa kutumia vyoo, kila kitu watakiweza.Unavyoona hapo siyo maua au mchoro wa kompyuta ni muonekano wa mji toka angani.
Hivyo sio vibox ni plots zilizochorwa na kupimwa tayari. Yani miundombinu imetangulia kabla ya watu kuanza kuishi.
Mazingira haya utayaona kwa jamii nyingine lakini sio kwa Wabantu. Sisi tuna shida gani?
Hiyo mipangilio huwa kichwani mwa watu kama haipo basi hutaiona kwa hao watu kamwe!Unavyoona hapo siyo maua au mchoro wa kompyuta ni muonekano wa mji toka angani.
Hivyo sio vibox ni plots zilizochorwa na kupimwa tayari. Yani miundombinu imetangulia kabla ya watu kuanza kuishi.
Mazingira haya utayaona kwa jamii nyingine lakini sio kwa Wabantu. Sisi tuna shida gani?
Hapa mtahani choo kikiharibika ukitaka kukijenga tu ni lazima upate kibari Kwa mjumbe sembuse nyumba na wanafanya hivi Ili kisimamia mpango mji wa eneo husika lakini ukiuangalia mtaa wenyewe uliivyo upo hovyo kabisa Sasa sijui wajumbe Huwa wanasimamia mchoro wa mpango mji Gani?(Watendaji)Kuwa na watendaji wasio na maono wala uwezo
Huruma na mipango ya mhe William Mkapa,.kuleta sera ya uboreshaji ardhi na makazi naona iliharibu sana. Watu walipojua ukivamia eneo unaboreshewa kukaa hapo hapo,, sasa nchi ni kama vichuguu vinavyoota hovyo, hovyo. Hakuna maeneo ya kupumzika/bustani kama mnazi mmoja Dsm. Mswahili mapumziko yetu ni vilabu vya pombe, vijiwe vya draft na vibanda vya Simba na Yanga.Afisa mipango miji hawezi kuanzisha tu mradi wa kupanga makazi bila budget wala back up ya wanasiasa. Kila kipande cha ardhi unachokiona mjini kina mwenyewe, lazima ufuate utaratibu wa kukitwaa ndio ukipange. Na hapo ndio picha linapoanza.
Lakini shida kubwa ilianza mara baada ya waswahili kuchukua nchi kutoka kwa wakoloni, mambo mengi yaliachwa yaende kwa kudra tu, miji mingi haina hata master plan, mwisho mazoea ya squatters yakajengeka.
Kurekebisha hilo tatizo itakuwa gharama sana na Mimi naona hilo litafanyika na vizazi vya mbele sana baada ya sisi kupotea kabisa.
Kizazi Cha elfu 2000 na watu Fulani wa 90s wanaweza wakafanya kitu (Pakitokea mabadiliko ya kwlikweli)Afisa mipango miji hawezi kuanzisha tu mradi wa kupanga makazi bila budget wala back up ya wanasiasa. Kila kipande cha ardhi unachokiona mjini kina mwenyewe, lazima ufuate utaratibu wa kukitwaa ndio ukipange. Na hapo ndio picha linapoanza.
Lakini shida kubwa ilianza mara baada ya waswahili kuchukua nchi kutoka kwa wakoloni, mambo mengi yaliachwa yaende kwa kudra tu, miji mingi haina hata master plan, mwisho mazoea ya squatters yakajengeka.
Kurekebisha hilo tatizo itakuwa gharama sana na Mimi naona hilo litafanyika na vizazi vya mbele sana baada ya sisi kupotea kabisa.
Unajitoa ufahamu kuwa hujui Samia na kundi lake ni watu wa namna gani? Wanashindwa kuendesha bandari ndiyo iwe kupanga miji?Unavyoona hapo siyo maua au mchoro wa kompyuta ni muonekano wa mji toka angani.