Tanganian
JF-Expert Member
- Jan 27, 2025
- 7,464
- 12,564
Habari zenu
Kama kichwa cha uzi hapo juu : Hawa wanaolia kwenye msiba ni unafiki au wanajidanganya ..Simply, ni ujinga tu kama unajua kila binadamu atakufa kwa nn unalia na ukizaa watoto unafurahi.
Ili muache unafiki msizae watoto la sivyo mnajitafutia maumivu ambayo ni non-stop ..Mzazi akifiwa na mtoto atalia na atapata mchungu maisha yake yote na mtoto naye akifiwa na mzazi atalia ..Mfumo wa kijinga wa kupandiza maumivu yasikuwa na ulazima kwa watu ,ujinga ni kuendelea kuzaana.
Hapa kuna rafiki yangu kafiwa na mzazi wake ,analia tangu juzi hata kazi haziendi ,nan aliwaambia mzae watoto ili wapitie magumu pindi mkiondokq ? Fikiria huyu jamaa yangu ni miaka 45 analia hivyo.
Kataa kuzaa kuepuka maumivu yako na utakayemzaa.