Kinachowafanya mlie kwenye msiba ni nini kama sio unafiki na kujidanganya?

Kinachowafanya mlie kwenye msiba ni nini kama sio unafiki na kujidanganya?

Ila wewe hupendi kuzaa/kuzaliana jamani...sijui una matatizo gani......uzi umeandika nimejikuta nacheka mno...
##Ni kazeze##
 
Watu wanaendelea kuishi na maumivu ya milele ,kufuwa na mtu sensitive sio jambo dogo.. wengine wanaingia gharama za kuwauguza kama huyo rafiki yangu ..Mother wake kafa na deni la mil 10 atalipa.
So unataka kusema analilia deni
 
Huna hoja ndugu. Ni hoja mfu. Hakuna maisha bila kuzaliana. Hata wewe usiezalisha unawahitaji watu waliozaliwa na wengine ili maisha yako yaendelee.
Simply ,unatengeneza maumivu ya watu wengine kwa kufuata mkumbo
 
Simply ,unatengeneza maumivu ya watu wengine kwa kufuata mkumbo
Wewe si unashauri watanzania tusizaliane? Kwa nini sasa utake wengine wazaliane halafu wengine wakizaliana uite mkumbo?Kama ushauri wako ni bora kwa nini usifuatwe na watanzania wote au dunia nzima?
 
Wewe si unashauri watanzania tusizaliane? Kwa nini sasa utake wengine wazaliane halafu wengine wakizaliana uite mkumbo?Kama ushauri wako ni bora kwa nini usifuatwe na watanzania wote au dunia nzima?
🤣🤣Mkumbo maana mnalia sana wakifa ilhali mnajua ipo siku watakuja ,kama sio wazimu ni nini?
 
Back
Top Bottom