Watu wanaendelea kuishi na maumivu ya milele ,kufuwa na mtu sensitive sio jambo dogo.. wengine wanaingia gharama za kuwauguza kama huyo rafiki yangu ..Mother wake kafa na deni la mil 10 atalipa.Kulia msibani ni hisia na maumivu ambayo mtu anakuwa nayo wakati huo, wala si kutokujua kama kuna kifo, kwani wanaolia ni watoto wanaofiwa na wazazi au wazazi wanaofiwa na watoto tu? Unaweza kumlilia mtu ambaye hata sio ndugu yako, hii yote inatokana na hisia na maumivu ya kibinadamu. Ndio maana mtu anaweza kulia sababu ya mambo tofauti; furaha iliyopitiliza, mapenzi, kuibiwa, kutengwa, mateso, au kuona mtu mwingine akipita maumivu/mateso makali n.k
Kati ya wewe na wanaolia msibani wewe ndio mjinga. Na siku likikukuta jambo utalia kama mwehu nakuhakikishia.
Unaliaje kwa jambo la kujitakia ,unamlilia mtoto ambaye hakulazimishwa kumzaaKama unaelia anamlilia mtu wa karibu kama mzazi,ndugu,mke,mtoto sawa mwache alie maana hakuna namna anaweza kuvumilia bila kulia,lakini wale watu baki wanaolia msibani huwa ni wanafiq kuliko.
Habari zenu
Kama kichwa cha uzi hapo juu : Hawa wanaolia kwenye msiba ni unafiki au wanajidanganya ..Simply, ni ujinga tu kama unajua kila binadamu atakufa kwa nn unalia na ukizaa watoto unafurahi.
Ili muache unafiki msizae watoto la sivyo mnajitafutia maumivu ambayo ni non-stop ..Mzazi akifiwa na mtoto atalia na atapata mchungu maisha yake yote na mtoto naye akifiwa na mzazi atalia ..Mfumo wa kijinga wa kupandiza maumivu yasikuwa na ulazima kwa watu ,ujinga ni kuendelea kuzaana.
Hapa kuna rafiki yangu kafiwa na mzazi wake ,analia tangu juzi hata kazi haziendi ,nan aliwaambia mzae watoto ili wapitie magumu pindi mkiondokq ? Fikiria huyu jamaa yangu ni miaka 45 analia hivyo.
Kataa kuzaa kuepuka maumivu yako na utakamtoa post h
Bandiko lako halina mashiko kama vipi usile wala kunywa maji,kataa maumivu ya kubanwa na haja na pia epuka gharama za kulipia huduma hizoKama unaelia anamlilia mtu wa karibu kama mzazi,ndugu,mke,mtoto sawa mwache alie maana hakuna namna anaweza kuvumilia bila kulia,lakini wale watu baki wanaolia msibani huwa ni wanafiq kuliko.
SIKU BOSS WAKO KAFA NA NDIYO ANAKUFANYA KUWA CHAWA WAKE NAHISI UTALIA ZAIDI YA UKOO WAKEKama unaelia anamlilia mtu wa karibu kama mzazi,ndugu,mke,mtoto sawa mwache alie maana hakuna namna anaweza kuvumilia bila kulia,lakini wale watu baki wanaolia msibani huwa ni wanafiq kuliko.
Ishu ni maumivu ya kujitakia ,bora usizae ili baadaye asije kufa ukaliaTembo wanyama akifa mwenzao wanaweka matanga na kikao thabiti,sasa kwa mjibu wa mtoa mada sijui hawa wanyama huwa wana huzunika ama wanafurahia!
Lkn mimi nijuavyo ukiachilia UCHAWA na MAIGIZO,mara nyingi kumbukumbu za mapito mbalimbali kwa waliosalia (wanao lia) na marehemu ndio hupelekea hiyo hali.
Sidhani kama Mnafiki Wa Kujitegemea mimi eti nionekane nikimwaga machozi eti kwa sababu Mzee Msuya,JPM ama mwingine yeyote ambaye sina uhusiano wa damu kafariki,wala sikuwahi kuwa na urafiki naye eti kidume mimi nimwage machozi,HAIWEZEKANI!
Kaka ulishawahi kufiwa?Habari zenu
Kama kichwa cha uzi hapo juu : Hawa wanaolia kwenye msiba ni unafiki au wanajidanganya ..Simply, ni ujinga tu kama unajua kila binadamu atakufa kwa nn unalia na ukizaa watoto unafurahi.
Ili muache unafiki msizae watoto la sivyo mnajitafutia maumivu ambayo ni non-stop ..Mzazi akifiwa na mtoto atalia na atapata mchungu maisha yake yote na mtoto naye akifiwa na mzazi atalia ..Mfumo wa kijinga wa kupandiza maumivu yasikuwa na ulazima kwa watu ,ujinga ni kuendelea kuzaana.
Hapa kuna rafiki yangu kafiwa na mzazi wake ,analia tangu juzi hata kazi haziendi ,nan aliwaambia mzae watoto ili wapitie magumu pindi mkiondokq ? Fikiria huyu jamaa yangu ni miaka 45 analia hivyo.
Kataa kuzaa kuepuka maumivu yako na utakayemzaa.
Kipi kinachokusibu haswa na machozi ya waliofiwa? Just mind your own business.Habari zenu
Kama kichwa cha uzi hapo juu : Hawa wanaolia kwenye msiba ni unafiki au wanajidanganya ..Simply, ni ujinga tu kama unajua kila binadamu atakufa kwa nn unalia na ukizaa watoto unafurahi.
Ili muache unafiki msizae watoto la sivyo mnajitafutia maumivu ambayo ni non-stop ..Mzazi akifiwa na mtoto atalia na atapata mchungu maisha yake yote na mtoto naye akifiwa na mzazi atalia ..Mfumo wa kijinga wa kupandiza maumivu yasikuwa na ulazima kwa watu ,ujinga ni kuendelea kuzaana.
Hapa kuna rafiki yangu kafiwa na mzazi wake ,analia tangu juzi hata kazi haziendi ,nan aliwaambia mzae watoto ili wapitie magumu pindi mkiondokq ? Fikiria huyu jamaa yangu ni miaka 45 analia hivyo.
Kataa kuzaa kuepuka maumivu yako na utakayemzaa.
Anza wewe kurudi ulikotoka ili wazazi wako wasikulilieIli muache unafiki msizae watoto la sivyo mnajitafutia maumivu ambayo ni non-stop ..Mzazi akifiwa na mtoto atalia na atapata mchungu maisha yake yote na mtoto naye akifiwa na mzazi atalia ..Mfumo wa kijinga wa kupandiza maumivu yasikuwa na ulazima kwa watu ,ujinga ni kuendelea kuzaana.
Acheni kumbembeleza huyo mkuu, analiaje tangu juzi, kwamba wengine hapo hamjawahi fiwa?Habari zenu