Kinachowafanya mlie kwenye msiba ni nini kama sio unafiki na kujidanganya?

Kinachowafanya mlie kwenye msiba ni nini kama sio unafiki na kujidanganya?

Mimi nimesema mtu akiwa anapitia sakaratul maut an kifo lazima atoe haja kubwa...

Wewe ukapinga...
Ndo nauliza ni nani ulimuona amekufa yupo msafi
Hahaha 😂, sijawahi kumkagua merehemu lakini sidhani kama Kila mtu anajisaidia haja kubwa wakati wa kukata roho.
 
Jibu kwanza , Je wewe kama wewe unapenda kuendelea kuishi hapa duniani?
Kuendelea mpaka lini ? Yaani unakuwa mzee mpaka ladha ya chakula inakushinda ,binafsi hata muda huu nikifa ni fresh tu.
 
Hasa wanawake analia kwenye msiba mtu hata humjui
Wanawake wanaweza maigizo kweli
 
Kuna siku utasema kuchimba shimo la choo ni unafaki, kwnin tunakula kama hatuyapendi mavi.
 
Kwanini hutaki kuzalisha?

Kama nguvu za kiume zimepungua usiogope kuna dawa.

Hata wanyama wanazaliana na ikitokea msiba kati yao lazima wahuzunike na kulia pia.

Kuzaliana na kufariki ni jambo la asili.

KAMA UNA SHIDA KUWA MUWAZI USAIDIWE.

Asante.
Kijana alikuwa anazunguka mbuyu wakati ana tatizo la uzazi na anashindwa kufungua kodi asaidiwe.
 
Kwanini hutaki kuzalisha?

Kama nguvu za kiume zimepungua usiogope kuna dawa.

Hata wanyama wanazaliana na ikitokea msiba kati yao lazima wahuzunike na kulia pia.

Kuzaliana na kufariki ni jambo la asili.

KAMA UNA SHIDA KUWA MUWAZI USAIDIWE.

Asante.
Shida zip tena ? Umzae mwingine ili iweje kama sio uthenge
 
Toa hoja sio kila mtanzania ni mjinga ,panua fikra badi unakariri maisha🤣🤣
Huna hoja ndugu. Ni hoja mfu. Hakuna maisha bila kuzaliana. Hata wewe usiezalisha unawahitaji watu waliozaliwa na wengine ili maisha yako yaendelee.
 
Back
Top Bottom