Kiviruge
Member
- Jul 29, 2024
- 10
- 13
Hauwezi kushindana na nature ndg,mambo ambayo mungu aliruhusu yawepo wewe huwezi kuyabadili nakusema hayana maanaAcha utumwa wa kujitafutia matatizo ni unafiki ,ishi mwenyewe
Hauwezi kushindana na nature ndg,mambo ambayo mungu aliruhusu yawepo wewe huwezi kuyabadili nakusema hayana maanaAcha utumwa wa kujitafutia matatizo ni unafiki ,ishi mwenyewe
Vipi mkuu, wazazi wako walifanya ujinga kukuzaa wewe siyo?Waache ujinga wa kuzaa
Kwa mfano mimi huwa nalia kwa kumwonea wivu aliyekufa kwa kutangulia mbinguni kule kwenye raha ya ajabu kabla yangu.Unafiki tuu mkuu..
Kila mtu atakata moto kudadek....
Mi nashangaa wengine wanavyokua wanaumwa wanataka kuonewa huruma,
Kama binaadamu na unajua ili ecosystems ibalance lazima ufe acha kunyeka nyeka.
Kufa ni constant...
Nitaku piemu mkuu kwa swala la dàwaKwanini hutaki kuzalisha?
Kama nguvu za kiume zimepungua usiogope kuna dawa.
Hata wanyama wanazaliana na ikitokea msiba kati yao lazima wahuzunike na kulia pia.
Kuzaliana na kufariki ni jambo la asili.
KAMA UNA SHIDA KUWA MUWAZI USAIDIWE.
Asante.
Watu hawalii sababu inawahuzunisha, wanalia sababu ya fact kwamba hawatomuona tena ndugu yao, mshkaji wao!Siwezi kulia bora akapumzike kuliko mikiki ya dunia
Unajua kwanini watu mda wa kufa wanatoa haja kubwa...?Kwa mfano mimi huwa nalia kwa kumwonea wivu aliyekufa kwa kutangulia mbinguni kule kwenye raha ya ajabu kabla yangu.
Mi nitaka mtu asinitangulie kuingia kwa mbungu.
Cc Monetary doctor
Hapana, hebu nijuze.Unajua kwanini watu mda wa kufa wanatoa haja kubwa...?
Kifo kina shoo kali mkuu usimuonee wivu mda roho inatoka mzeee weeehHapana, hebu nijuze.
Kwa hiyo unataka kusema Kila anayekufa lazima aachie kimba.Kifo kina shoo kali mkuu usimuonee wivu mda roho inatoka mzeee weeeh
Ni lazima fatilia hakuna anaeepuka mybe uvae chupi la batiKwa hiyo unataka kusema Kila anayekufa lazima aachie kimba.
Aise mkuu huo ni uwongo.Ni lazima fatilia hakuna anaeepuka mybe uvae chupi la bati