secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 23,984
- 51,055
Hapana bana!Utaachika kimba tu
Hapana bana!Utaachika kimba tu
Kila mtu atachanganyikiwa kwa wakati wakeHabari zenu
Kama kichwa cha uzi hapo juu : Hawa wanaolia kwenye msiba ni unafiki au wanajidanganya ..Simply, ni ujinga tu kama unajua kila binadamu atakufa kwa nn unalia na ukizaa watoto unafurahi.
Ili muache unafiki msizae watoto la sivyo mnajitafutia maumivu ambayo ni non-stop ..Mzazi akifiwa na mtoto atalia na atapata mchungu maisha yake yote na mtoto naye akifiwa na mzazi atalia ..Mfumo wa kijinga wa kupandiza maumivu yasikuwa na ulazima kwa watu ,ujinga ni kuendelea kuzaana.
Hapa kuna rafiki yangu kafiwa na mzazi wake ,analia tangu juzi hata kazi haziendi ,nan aliwaambia mzae watoto ili wapitie magumu pindi mkiondokq ? Fikiria huyu jamaa yangu ni miaka 45 analia hivyo.
Kataa kuzaa kuepuka maumivu yako na utakayemzaa.
Kama nani..?Aise mkuu huo ni uwongo.
Mbona watu wengine wamekufa pasipokuachia kimba aise.
Vipi,kwani jamaa aliyetajwa kulia kwenye hii mada alikuwa akimlilia mwanae ama mama yake?Ishu ni maumivu ya kujitakia ,bora usizae ili baadaye asije kufa ukalia
Kama mtu aliyekufa akiwa amelala.Kama nani..?
Nitaku piemu mkuu kwa swala la dàwa
Jambo lolote ikiwa halijakufikia unaweza kuongea chochote,ila yakikukuta ndipo utaelewa vzrHabari zenu
Kama kichwa cha uzi hapo juu : Hawa wanaolia kwenye msiba ni unafiki au wanajidanganya ..Simply, ni ujinga tu kama unajua kila binadamu atakufa kwa nn unalia na ukizaa watoto unafurahi.
Ili muache unafiki msizae watoto la sivyo mnajitafutia maumivu ambayo ni non-stop ..Mzazi akifiwa na mtoto atalia na atapata mchungu maisha yake yote na mtoto naye akifiwa na mzazi atalia ..Mfumo wa kijinga wa kupandiza maumivu yasikuwa na ulazima kwa watu ,ujinga ni kuendelea kuzaana.
Hapa kuna rafiki yangu kafiwa na mzazi wake ,analia tangu juzi hata kazi haziendi ,nan aliwaambia mzae watoto ili wapitie magumu pindi mkiondokq ? Fikiria huyu jamaa yangu ni miaka 45 analia hivyo.
Kataa kuzaa kuepuka maumivu yako na utakayemzaa.
😂😂😂😂Tena kijijini, yani kila mwanakijiji mma ma akija analia, baada ya muda yuko nje anagombea sahani za wali
Nani ulimuona kama unakumbuka tuambie..Kama mtu aliyekufa akiwa amelala.
Wahimiza upinde pia hutumia hii mbinu kuwa mpinduane kwani hamuwezi zaliana.Habari zenu
Kama kichwa cha uzi hapo juu : Hawa wanaolia kwenye msiba ni unafiki au wanajidanganya ..Simply, ni ujinga tu kama unajua kila binadamu atakufa kwa nn unalia na ukizaa watoto unafurahi.
Ili muache unafiki msizae watoto la sivyo mnajitafutia maumivu ambayo ni non-stop ..Mzazi akifiwa na mtoto atalia na atapata mchungu maisha yake yote na mtoto naye akifiwa na mzazi atalia ..Mfumo wa kijinga wa kupandiza maumivu yasikuwa na ulazima kwa watu ,ujinga ni kuendelea kuzaana.
Hapa kuna rafiki yangu kafiwa na mzazi wake ,analia tangu juzi hata kazi haziendi ,nan aliwaambia mzae watoto ili wapitie magumu pindi mkiondokq ? Fikiria huyu jamaa yangu ni miaka 45 analia hivyo.
Kataa kuzaa kuepuka maumivu yako na utakayemzaa.
Endelea kujiliza kama mthenge ,kama mtoto unazaa mwenyewe kwa nyege zao ,akifa unalia na ukweli unajua kwamba ipo siku atakufa..Acheni unafiki mambwa nyie.Wahimiza upinde pia hutumia hii mbinu kuwa mpinduane kwani hamuwezi zaliana.
We umeshakaa nao mkuu?Nani ulimuona kama unakumbuka tuambie..
Naona unakwepa swali..
Kaa vizr na waosha maiti wakupe full story
Mimi nimesema mtu akiwa anapitia sakaratul maut an kifo lazima atoe haja kubwa...We umeshakaa nao mkuu?
Je, ulipokaa nao walisemaje?
Mkuu kwani nimekosea wap.au umeisoma kwa haraka.Endelea kujiliza kama mthenge ,kama mtoto unazaa mwenyewe kwa nyege zao ,akifa unalia na ukweli unajua kwamba ipo siku atakufa..Acheni unafiki mambwa nyie.