Tutaisha sasa mkuu,ila Bora tuishe...kwa siasa hizi za Tz.HapanaKataa kuzaa kuepuka maumivu yako na utakayemzaa.
hujaelewa point yangu.Sababu wakati ulizaa mwenyewe ,hauoni kama matatizo uliyatafuta mwenyewe..
NAOMBA WAPE MAELEKEZO. NI WAPI NA LINI WANATAKIWA KULIA.Waache ujinga wa kuzaa
Siku unaye mdai pesa nyingi kafa usiangushe kilio hapa JF alafu mjawekeana mahandishiHabari zenu
Kama kichwa cha uzi hapo juu : Hawa wanaolia kwenye msiba ni unafiki au wanajidanganya ..Simply, ni ujinga tu kama unajua kila binadamu atakufa kwa nn unalia na ukizaa watoto unafurahi.
Ili muache unafiki msizae watoto la sivyo mnajitafutia maumivu ambayo ni non-stop ..Mzazi akifiwa na mtoto atalia na atapata mchungu maisha yake yote na mtoto naye akifiwa na mzazi atalia ..Mfumo wa kijinga wa kupandiza maumivu yasikuwa na ulazima kwa watu ,ujinga ni kuendelea kuzaana.
Hapa kuna rafiki yangu kafiwa na mzazi wake ,analia tangu juzi hata kazi haziendi ,nan aliwaambia mzae watoto ili wapitie magumu pindi mkiondokq ? Fikiria huyu jamaa yangu ni miaka 45 analia hivyo.
Kataa kuzaa kuepuka maumivu yako na utakayemzaa.
No Reforms No ElectionsHabari zenu

🤣🤣🤣Pesa utapata nginSiku unaye mdai pesa nyingi kafa usiangushe kilio hapa JF alafu mjawekeana mahandishi
🤣🤣Wanafiki sana ,mimi siwez kulia labda nione maskini analala njaa ila aliyekufa hapana .Tena kijijini, yani kila mwanakijiji mma ma akija analia, baada ya muda yuko nje anagombea sahani za wali
Makapi umeandikaHabari zenu