Wakudadavuwa
JF-Expert Member
- Feb 17, 2016
- 17,506
- 16,003
Ndugu zangu,
Kwa wataalamu wa Saikolojia wanaelewa, Chadema walifurahia SSH kuwa Rais na haikupita wiki wakaandika barua kuomba kwenda Ikulu bila kusema dhumuni la kwenda Ikulu.Waliamini wao ni muhimu kuliko yeyote hapa nchini.
Muda umepita sasa,hawajaalikwa,wamekasirika,wanahasira,wamevuvurugika wanatukana kila tusi.Wameamua kujificha kwenye kichaka cha Katiba.SSH angekubali kukutana nao na kuwapa chai pale Ikulu wangejigamba sana na wangetoa kejeli zote dhidi ya tawala zilizopita.
Nilisema itakapofika Julai mosi Chadema wataanza ukorofi,matusi na kejeli.Muda unasema sasa.

Kwa akili yako unafikili kina Mbowe Wana njaa Kama wewe?Ndugu zangu,
Kwa wataalamu wa Saikolojia wanaelewa, Chadema walifurahia SSH kuwa Rais na haikupita wiki wakaandika barua kuomba kwenda Ikulu bila kusema dhumuni la kwenda Ikulu.Waliamini wao ni muhimu kuliko yeyote hapa nchini.
Muda umepita sasa,hawajaalikwa,wamekasirika,wanahasira,wamevuvurugika wanatukana kila tusi.Wameamua kujificha kwenye kichaka cha Katiba.SSH angekubali kukutana nao na kuwapa chai pale Ikulu wangejigamba sana na wangetoa kejeli zote dhidi ya tawala zilizopita.
Nilisema itakapofika Julai mosi Chadema wataanza ukorofi,matusi na kejeli.Muda unasema sasa.
Muafaka juu ya nini? Tupo na crisis gani mpaka tuhitaji muafaka? Tumia ubongo bro. Au muafaka wa kutengeneza mazingira ili mpige pesa za michango na ruzuku?Sababu zako ni za kipuuzi na ni za kitoto pia! Chai ndiyo nini!! Watu wanataka muafaka wa Kitaifa, wewe unaleta hoja za kitoto.
Endeleeni tu kuziba masikio. Siku ikifika, mtatafuta kwa kukimbilia nyinyi na familia zenu.
Kubishana na wewe ni kujichosha tu. Maana huna unacho kifahamu.Muafaka juu ya nini? Tupo na crisis gani mpaka tuhitaji muafaka? Tumia ubongo bro. Au muafaka wa kutengeneza mazingira ili mpige pesa za michango na ruzuku?
Ahaaaa.Kubishana na wewe ni kujichosha tu. Maana huna unacho kifahamu.
Muafaka wa nini. Ahaaaaa.Kubishana na wewe ni kujichosha tu. Maana huna unacho kifahamu.
Mnafurahi kupewa mwaliko kuonana na Rais wa JMT; je, mtanufaika vipi kisiasa? Ipo siku utakumbuka kuwa mimi sio mpiga kelele.Kubishana na wewe ni kujichosha tu. Maana huna unacho kifahamu.
Mkuu una hasira za maisha magumu? Mnafurahi kupewa mwaliko kuonana na Rais wa JMT; je, mtanufaika vipi kisiasa?Ikulu ipi, hiyo yenye harufu ya shombo ya samaki? Labda kama ingekuwa ya US.
Sababu zako ni za kipuuzi na ni za kitoto pia! Chai ndiyo nini!! Watu wanataka muafaka wa Kitaifa, wewe unaleta hoja za kitoto.
Endeleeni tu kuziba masikio. Siku ikifika, mtatafuta kwa kukimbilia nyinyi na familia zenu.
Ikulu ipi, hiyo yenye harufu ya shombo ya samaki? Labda kama ingekuwa ya US.