Bloodstone
JF-Expert Member
- Feb 16, 2016
- 920
- 994
Muafaka juu ya nini? Tupo na crisis gani mpaka tuhitaji muafaka? Tumia ubongo bro. Au muafaka wa kutengeneza mazingira ili mpige pesa za michango na ruzuku?
Hawa jamaa huwa nawashangaa sana wanavosema muafaka wa kitaifa as if huku mtaani watu hawaombani chumvi Au kuzikana...
Au Kuna mauaji ya kimbari vile ...
Huku mtaani watu hawalizani vyama,dini wala makabila... wanajazana mwendokasi Na daladala bila kuulizana kadi za vyama ... wao kilio huku ni kuwezeshwa tu kiuchumi Na kuwekewa Mazingira bora ya maisha na kesho zao ...
Hiyo miafaka labda ya vyama na vyama sio waseme eti ya kitaifa
Taifa kama Taifa halina uhasama wa kuhitaji muafaka wa ndani zaidi ya tofauti za ideologically tuu