thetowerofbabel
JF-Expert Member
- Jul 17, 2010
- 266
- 360
Ni mentality ya ajabu sana na ya hovyo kudhani kwenda kukanyaga viunga vya ikulu ni deal Tena ni mentality ya kimaskiniNdugu zangu,
Kwa wataalamu wa Saikolojia wanaelewa, Chadema walifurahia SSH kuwa Rais na haikupita wiki wakaandika barua kuomba kwenda Ikulu bila kusema dhumuni la kwenda Ikulu. Waliamini wao ni muhimu kuliko yeyote hapa nchini.
Muda umepita sasa, hawajaalikwa, wamekasirika, wana hasira, wamevuvurugika wanatukana kila tusi. Wameamua kujificha kwenye kichaka cha Katiba. SSH angekubali kukutana nao na kuwapa chai pale Ikulu wangejigamba sana na wangetoa kejeli zote dhidi ya tawala zilizopita.
Nilisema itakapofika Julai mosi Chadema wataanza ukorofi, matusi na kejeli. Muda unasema sasa.
pia ni mawazo ya ajabu sana kuongelea issue za chai au chakula kwa mtu mzima
Kabila letu sisi ni aibu kuongea siju chakula kimefanya nini sijui sijala.
Mara nying ukiona mtu anapenda kuongelea chakula mara kwa mara atakua aidha yeye mwenyewe ni mlafi au mchoyo wa chakula
Au katika maisha yake au familia chakula ishawahi kuwa ni issue kukipata.