Kinachowauma CHADEMA sio Katiba Mpya bali ni Mbowe na Lissu kutoalikwa Ikulu

Kinachowauma CHADEMA sio Katiba Mpya bali ni Mbowe na Lissu kutoalikwa Ikulu

Povu kamanda,jiwe la gizani limekupata
Mimi siyo Kamanda wala nini! Sema tu hii hoja yako ya kusema eti watu wazima wanataka kunywa chai ikulu, ndiyo niliyo kuambia ni ya kipuuzi na kitoto.

Chadena ni chama kikuu cha upinzani! Hivyo wana sifa ya kuonana na Rais wao kama wao, na pasipo kuongozana na mamluki kama akina Shibuda, nk.
 
Uko sahihi baada ya kuchuniwa wameanza kumshambulia kweli wanasiasa sio wakuwaamini.
 
Dogo tindo unajichanganya sana,siku hizi umekuwa mtu wa jazba si hoja.Na sasa jiwe la kizani limekupata jichoni,pole

Hasira za nini wakati nakupa ukweli wako? Ww ndio unaona hiyo ikulu ni sehemu special kwelikweli, mimi kwangu naiona ni uchafu kama uchafu mwingine.
 
Ha ha eti wewe ni chawa wa Mbowe
Tena katika vitu vimenishangaza ni hao viongozi wa cdm kutaka kuonana na rais. Mimi sio muumini wa siasa za kujipendekeza kwa watawala. Hao viongozi wa cdm wangeendelea na shughuli zao, na sio kutaka kukutana na majizi ya kura.
 
Uko sahihi baada ya kuchuniwa wameanza kumshambulia kweli wanasiasa sio wakuwaamini.
Acha upotoshaji wa kijinga, huyo mama anapewa ukweli wake baada ya kuanza kukengeuka kwa kwenda kinyume na katiba. Naona propaganda mfu zinakuchanganya kisha unajaa na kuanza kuleta upotoshaji.
 
Ha ha eti wewe ni chawa wa Mbowe

Mbowe mwenyewe wala hanijui kwa taarifa yako, na mimi namuona kama watu wengine wanavyomuona kwa mbali. Na wala sina hata mshawasha wa kukutana naye, kwani ukiachia yeye kuwa mwenyekiti wa cdm, kwangu yeye ni mtu wa kawaida sana.
 
Acha upotoshaji wa kijinga, huyo mama anapewa ukweli wake baada ya kuanza kukengeuka kwa kwenda kinyume na katiba. Naona propaganda mfu zinakuchanganya kisha unajaa na kuanza kuleta upotoshaji.
Mama alikuwa msikivu kutowaita ikulu mkaanza kumshambulia mlisahau kuwa yeye ni amiri jeshi acha awanyooshe maana power hyo anayo kikatiba.
 
Duh dogo tindo kwani kusema tulinde amani kwa kuepuka chokochoko kuna ubaya gani?
Acha upotoshaji wa kijinga, huyo mama anapewa ukweli wake baada ya kuanza kukengeuka kwa kwenda kinyume na katiba. Naona propaganda mfu zinakuchanganya kisha unajaa na kuanza kuleta upotoshaji.
 
Ila umekubali kuwa chawa wake mtiifu,Mbowe ni Kada wa CCM lakini,mlizumgusha mikono kwa EL tunawajua
Mbowe mwenyewe wala hanijui kwa taarifa yako, na mimi namuona kama watu wengine wanavyomuona kwa mbali. Na wala sina hata mshawasha wa kukutana naye, kwani ukiachia yeye kuwa mwenyekiti wa cdm, kwangu yeye ni mtu wa kawaida sana.
 
Mama alikuwa msikivu kutowaita ikulu mkaanza kumshambulia mlisahau kuwa yeye ni amiri jeshi acha awanyooshe maana power hyo anayo kikatiba.

Hakuna anayehitaji hisani ya rais, naona umejaa kwwe propaganda mfu. Acha kuwanyoosha, anaweza hata kufuta hicho chama, lakini anachoambiwa ni ukweli kuwa asimame kwenye katiba na sio kinyume na hapo. Cdm wasimame kwenye ukweli tu, hayo mengine ya kuhitaji hisani ya mama kwangu hayana maana.
 
Hata hiyo Katiba yenyewe kinachowafanya waidai ni tume huru ya uchaguzi tu hakuna jingine.

Yaani majamaa yanakaa kuwaza ulaji tu.
 
Ila umekubali kuwa chawa wake mtiifu,Mbowe ni Kada wa CCM lakini,mlizumgusha mikono kwa EL tunawajua

Kwa taarifa yako mimi sio mwanachama wa cdm bali shabiki wa kutupwa wa cdm. Huo uchawa napewa kivipi? Tafuta mahali popote nilipowahi kumuunga mkono hilo zee Lowassa tapeli la siasa akiwa cdm au ccm. Ukipapata nipigwe ban ya milele hapa jf. Au unadhani na mimi ni bendera fuata upepo kama ww.
 
Sababu zako ni za kipuuzi na ni za kitoto pia! Chai ndiyo nini!! Watu wanataka muafaka wa Kitaifa, wewe unaleta hoja za kitoto.

Endeleeni tu kuziba masikio. Siku ikifika, mtatafuta kwa kukimbilia nyinyi na familia zenu.
Hahahaha[emoji23][emoji23][emoji23] hizi kauli zenu tumezizoea, watu hawawezi kukimbia familia zao kwa uandishi wenu wa mitandaoni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
..mbona Prof.Lipumba alialikwa ikulu lakini anadai katiba mpya?

..mbona Othman Masoud ni Makamu wa Raisi Znz lakini anadai katiba mpya?
 
Back
Top Bottom