Kinachowauma CHADEMA sio Katiba Mpya bali ni Mbowe na Lissu kutoalikwa Ikulu

Kinachowauma CHADEMA sio Katiba Mpya bali ni Mbowe na Lissu kutoalikwa Ikulu

Kabisa kijana wangu
Hao cdm wasituchezee Watanzania tuwashtukie mapema na tuwapuuzie wasiharibu amani yetu ya Tanzania kuna watu wanatamani sana wangezaliwa kwenye ardhi ya nchi yetu kulingana na amani tuliyonayo hivyo tusiichezee hii tunu yetu,mungu bariki Tanzania.
 
Ndugu zangu,

Kwa wataalamu wa Saikolojia wanaelewa, Chadema walifurahia SSH kuwa Rais na haikupita wiki wakaandika barua kuomba kwenda Ikulu bila kusema dhumuni la kwenda Ikulu.Waliamini wao ni muhimu kuliko yeyote hapa nchini...
Kumwalika faru John & Co ikulu kufanya nini?.
 
Na Ikulu watapasikia tu kwenye bbc swahili hatokanyaga abadan.
 
Ndugu zangu,

Kwa wataalamu wa Saikolojia wanaelewa, Chadema walifurahia SSH kuwa Rais na haikupita wiki wakaandika barua kuomba kwenda Ikulu bila kusema dhumuni la kwenda Ikulu.Waliamini wao ni muhimu kuliko yeyote hapa nchini...
Hao unaowataja wamekwisha ingia ikulu huyu mama akiwa ofisa wa kawaida tu , acha uongo

Tutamtoa_Mkoloni_Mweusi_Soon_on_Instagram:_“Mwenyekiti_wa_Chadema_Taifa_akisalimiana_na_Waziri...jpg
 
Miongoni mwa masuala mazito yaliyopelekea chadema kuomba kukutana na rais Samia kwa vyovyote vile ni haya mawili:.
(a) Amri haramu ya kukataza shughuli za vyama vya siasa iliwekwa na Magufuli).
( b) Kupata katiba mpya.

Sasa rais Samia kisha yatolea maelezo hadharani kwamba mambo haya mawili yasubiri mpk uchumi wa Tanzania utakapokuwa mzuri kuliko ule wa Marekani. Kwa kifupi Ni kwamba mama ameyakataa.

Haya maelezo (majibu) ya mama hayajatolewa kwa bahati mbaya. Kupitia vyombo vyake ni dhahili alishapenyezewa ajenda hizi na ameamua kuivuruga nia njema ya chadema kwa kuzisambaratisha hoja zao hadharani.

Kwa hiyo kwa maoni yangu mm sioni utayari Wala dalili za dhati kabisa ya mama kuonana na Chadema.

By Sexless
 
Samia aliporuhusu kuongoza nchi kwa mseto kushirikiana na wastaafu Mtazamo wake umebadilika mara dufu
 
Ukiona mtu mzima anakuwa si mkweli hadharani kwa kutoa kauli ambayo ameshindwa kuonyesha ushahidi husika na mtu huyo ana madaraka makubwa sana basi ujue anatafuta justification ya KUTENDA MAOVU.

F820CA98-40C6-4BF9-BBCE-9CB7D2868147.jpeg

Miongoni mwa masuala mazito yaliyopelekea chadema kuomba kukutana na rais Samia kwa vyovyote vile ni haya mawili:.
(a) Amri haramu ya kukataza shughuli za vyama vya siasa iliwekwa na Magufuli)...
 
Mkutano upo....

Chadema itakwenda na hizo AJENDA ZENU MBILI....

Chief Comforter atawasikiliza kwa "utuo bila ghishi" halafu mtakunywa naye CHAI na kupiga picha akiwa AMEKAA MBELE YENU....

Kwani mkutano huo mtalazimisha kuwe na DEBATE?!!!🤣🤣🤣

#NchiKwanza
#KaziIendelee
#TunaImaniKubwaNaMhRaisSSH
 
Watapokelewa....

Watatema "nyongo zao"....

Watasikilizwa na mzalendo no.1 mh.SSH.....

WATAKUNYWA CHAI....
WATAPIGA NAYE PICHA....

Haooooooo makwao......

c18.jpg
 
Hatuwezi kuogopa wala kurudi nyuma kudai katiba mpya eti tukitimiza wajibu wetu wa kikatiba ni chokochoko. No, no, we are not satisfied and will not be satisfied until justice rolls down like water and righteousness like a mighty stream. Hii Nchi ni yetu sote..Katiba Kwanza.
Uchaguzi 2025 weka kwenye Ilani ya NCCR Mageuzi (kwa sasa jumla wana wabunge zero) au ya CUF (Mbunge 1) na Chadema (nao Mbunge 1). Hoja inaweza kuanzia Bungeni sasa hivi, lakini utakuta haitapita ujue kuwa hili ni bunge la vyama vingi. Ingekuwa ni Bunge la chama kimoja ingetoka hoja ya Polepoke mojactu ikapita bilavkupingwa.
 
Kwa post kama hii mtu aki ku-rate kuwa wewe thinking yako ni sawa na darasa ka chekechea au to put it right ni mavi, atakuwa amekutukana?
Ndugu zangu,

Kwa wataalamu wa Saikolojia wanaelewa, Chadema walifurahia SSH kuwa Rais na haikupita wiki wakaandika barua kuomba kwenda Ikulu bila kusema dhumuni la kwenda Ikulu. Waliamini wao ni muhimu kuliko yeyote hapa nchini.

Muda umepita sasa, hawajaalikwa, wamekasirika, wana hasira, wamevuvurugika wanatukana kila tusi. Wameamua kujificha kwenye kichaka cha Katiba. SSH angekubali kukutana nao na kuwapa chai pale Ikulu wangejigamba sana na wangetoa kejeli zote dhidi ya tawala zilizopita.

Nilisema itakapofika Julai mosi Chadema wataanza ukorofi, matusi na kejeli. Muda unasema sasa.
 
Dogo hata huko US kuna kakikundi kama Chadema (wafuasi wa Trump) wanataka katiba yao ibadilishwe.Chapa kazi acha kulalamika
Ukiona mtu mzima anakuwa si mkweli hadharani kwa kutoa kauli ambayo ameshindwa kuonyesha ushahidi husika na mtu huyo ana madaraka makubwa sana basi ujue anatafuta justification ya KUTENDA MAOVU.

View attachment 1845346
 
Jikite kwenye hoja,naelewa jiwe la gizani limekupata kisawasawa
Kwa post kama hii mtu aki ku-rate kuwa wewe thinking yako ni sawa na darasa ka chekechea au to put it right ni mavi, atakuwa amekutukana?
 
Back
Top Bottom