Kinamchomsumbua Hananja ni wivu wa kuzidiwa 'trending' na Mfalme Zumaridi

Hii ni biashara huru, uzuri wa zumaridi ajawahi waponda wenzake.
Yeye na wafuasi wake.
SAsa hivi ajitahidi awe karibu na walamba asali Ili jela imuogope kama wafanyavyo wajasiliadini wenzake.
 
Mbinguni lugha kuu ni kisukuma
 

Attachments

  • IMG-20230317-WA0036.jpg
    47 KB · Views: 3
  • IMG-20230317-WA0000.jpg
    82.5 KB · Views: 3
Mambo ya kiroho kwa tasfiri ya kimwili ni utumbo.
 
Kwahiyo tumekubaliana kua Zumaridi alienda mbinguni au hakwenda?
Kwahiyo Paulo ni kweli alitaka kumuoa Zumaridi ila Zumaridi akakataa?
Na vipi kuhusu Jua kumtokea chumbani kwake usiku?

Nitarudi kusoma majibu.
Zumaridi ni chenga tupu , na usanii mkubwa anafanya , sema ndo njia yake ya kujipatia kipato , kuna watu wanaliibia hili taifa kwa kufisadi na maisha yanaendelea na tunawaita wajanja , zumaridi ameamua afanye hvyo ajipatie kipato anakuja boya mmoja mlevi na dini yake feki , na saikolojia yake ya kuwabeba wahuni wenzake anakuja kumkosoa , anamkosoa kwa kile ambacho hata yeye anafanya ila kwa njia nyingine , Zumaridi wafuasi wake wamemuelewa na wanampa sadaka life linaenda madam havunji sheria , kama ambavyo wafuasi wa waganga na freemason wanatii na kutoa sadaka hata za kafara za watoto wao ili life liende ,

Anayeamini kuwa anamjua Mungu vizur , na dini yake ni sahihi au dhehebu lake sahihi aje atuthibitishie , na sauti ya Mungu isikike ikimthibitisha , vinginevyo dini na madhehebu yote ni usanii mtupu na ni biashara za watu kujiingizia kipato ,

Zumaridi anaweza kosolewa na watu wengine lakini sio hananja ,mbowe a aweza kosolewa na watu wengine lakini sio mtu kama Zitto zuber kabwe
 
Me naona wote Lao moja ....wana tafta attention
 
Hananja ni Mwalimu, mshauri na pia mfungua jamii kwa kuitoa gizani kwenda nuruni.
Yeye ujibu swali aliloulizwa na muuliza swali.
Zumaridi atumii biblia wala sio mfuasi wa Yesu.
Akijiita zumaridi jina alilopewa na mungu wake na mungu wa Zumaridi sio Mungu wa Wakristo.
 
She is sick she needs medical attention
 

Zumaridi kaingia Chaka. Alikuwa anajiita Mungu Chini ya just, na waumini wake wanamuamini Kama Mungu, ila leo anadai kwamba alipelekwa mbinguni, Mara alitokewa na just usiku na bla bla nyingi.
 
Huyo unayemwamini ni mjanja anawezaje dandia hoja za mjinga , basi hananja atakuwa mpumbavu na ww unayemwamini utakuwa ni mwehu

Mtu akiongea ujinga asionywe au kushauriwa?. Mtu Leo anajiita Mungu , kesho anadai ametokewa na jua , mara amekutana na Petro akataka kumchumbia etc. Uongee yote hayo ya kujicontradict na watu wakae kimya?. No please.
 

Hata Gwajima alienda viral kwa video ya sex. Nachojua, ni kwamba Zumaridi anazidi kujianika mbele za watu na ipo siku hata wafuasi wake watamkimbia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…