Elections 2015 Kinana aanza ziara ktk Majimbo 64. Magufuli aunda kikosi kazi... Mkapa, Kikwete nao wajipanga!

 
 
 
 
 
 
Uongozi mpya,Chama tawala kipya,maendeleo ya kasi,rais mpya,makamu wa rais mpya,baraza la mawaziri jipya,mafisadi watafunguliwa mashitaka upya,nyumba za serikali zilizouzwa zitarudishwa upya,viwanda vilivyouliwa vitarudishwa upya.Tunatarajia makubwa
 
The Revival of Tanzania. Karibu Magufuli uionyooshe nchi na kusafisha vibaka waliotufikisha hapa

DuppyConqueror, ukitaka kujua Magufuli ni kiongozi bora na siyo bora kiongozi skiliza mijadala ya upinzani wanahofu mno kwani wanajua kadiri siku zinavyokwenda mbele kuelekea uchaguzi mkuu wa 2015, wanatetemeka na kujisemea, "Jamaa (Magufuli) anatisha!
 
Anauhakika gani wa kushinda UCHAGUZI???Au zile za GOAL LA MKONO???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…