Elections 2015 Kinana aanza ziara ktk Majimbo 64. Magufuli aunda kikosi kazi... Mkapa, Kikwete nao wajipanga!

Safi sana watu wa mungu tumethubutu na tumeweza ccm mbele kwa mbele hapa kazi tu.
 
Hivi magufuli hadi sasa ameundiwa team ngapi jamani. Msemo unasema change is inevitable. Hamuelewi tuu??
 
watamsaidiaje wakati yeye mwenyewe anaponda uongozi wote uliopita kuwa ndio umesababisha umasikini kwa wa-tz na ndio maana ameiga kauli mbiu ya mabadiliko?
 
Nimesoma taarifa ya January Makamba akieleza Rais mtaafu Benjamin Mkapa ataingia kuongeza nguvu ya katika Campaign za Maghufuri.
Je kuingia kwa Mkapa kutaleta mabadiriko kwa wapiga kura?au CCM imeishiwa pumzi?

umeona hilo tuuuu Ndio kuishiwa na point za chini yake.
 
dalili ya kushindwa . TWAWEZA waliwadanganya too late to catch a moving train
 
Sitawaangusha!hahaha!kingunge sio mtu mzuri,anawanyima sana usingizi
 

Mkuu,

Nimefurahishwa na namna ulivyotoa comment yako,,imeonyeshwa wazi hufurahishwi na mambo yanayoendelea,,lakini pia huchukulii suala la uchaguzi na uendeshaji wa serikali kishabiki,,naamini na nadhani na wewe unaamini despite of wana ccm wengi wabaya na mafisadi(kama walivyokua kina lowassa,kikwete,chenge,karamagi n others) kuna wana ccm wenye nia na dhamira ya kulipaisha taifa hili,,,kina magufuli,mwakyembe,mwandosya,sitta,j.makamba na wengineo,,ninaamini era ya wana ccm walio na dhamira safi inakuja kwenye awamu hii ya 5
 
Hii ni dalili tosha kuwa CCM imeishiwa pumzi na ipo katikati ya mlima na uwezo wa kubadili gia haupo huku dereva akiwa anapiga push up akidhani atainusuru na zahma inayoikabili.
Acheni watu watumie rasilimali ya viongozi waliokua nao kukirudisha chama madarakani.ni aibu kubwa sana chadema kufulia hadi kumtumia kingunge kwenye kampeni zake.
baada ya uchaguzi chadema watagundua makosa yao
 
Wagombea wao hawawezi kutumia chopa,maandalizi ya kuzombea watu yatakuwa finyu,Makofuli amepewa ushauri na daktari asijaribu kupandapanda chopa.
By the way Lowassa anashinda uchaguzi asubuhi asubuhi.
 
katika hiyo timu mkapa hatasaidia ,kinana anajulikana kazoeleka hasikilizwi mtafuteni KINGUNGE ndio mtu pekee swala sio idadi yao swali kuaminika kuheshimika-Mkapa hajihusishi na maisha ya watanzania anaibuka uchaguzi tu bora hata mwinyi-sanasana siasa za 2005 kutisha watu na mavita ya rwanda hakuna hoja -Kuingia kwao kutaongeza mshikamano wa wana UKAWA
 
Ukipanda chopa valve za moyo tulizokuwekea zitaloosen umeelewa mwanangu? Na sikuile umejitonesha kwa sarakasi zako bila sababu
 
Wanaukumbi.

Tathmini iliyofanywa na ccm dhidi ya mgombea wao,imeonyesha kuwa kuna haja ya kufanya kazi kwani amezidiwa na Mgombea wa chadema.

Katika kumnusuru Magufuli na matokeo mabovu,yule aliyewaita watanzania wapumbav.u Ben Mkapa ameangukiwa ainusuru ccm kwa kuzunguka kufanya kampeni..

Mytake: Huku field hata wangekuja kina nyerere sasa wananchi wanataka kubadilisha utawala.
 
Wagombea wao hawawezi kutumia chopa,maandalizi ya kuzombea watu yatakuwa finyu,Makofuli amepewa ushauri na daktari asijaribu kupandapanda chopa.
By the way Lowassa anashinda uchaguzi asubuhi asubuhi.

Kutimba wilaya kwa wilaya na jimbo kwa jombo inahitaji urijali la sivyo utaishia kuchafua nguo kwa kinyesi!!

#hapakazitu
 
Hivi ile timu ya makada 32 wa CCM imeishia wapi? Pumzi imekatikia wapi. Naona jeshi la Akiba nalo limekata pumzi, sasa tunaokota mtu yoyote na kumweka mbele kwenye vita.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…