Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uko kama mimi ninaimani na magufuli sana ntamchagua mapema kabisa.namchagua magufuli sichagui ccm hapa kazi tu
Nimesoma taarifa ya January Makamba akieleza Rais mtaafu Benjamin Mkapa ataingia kuongeza nguvu ya katika Campaign za Maghufuri.
Je kuingia kwa Mkapa kutaleta mabadiriko kwa wapiga kura?au CCM imeishiwa pumzi?
Relax don't be desperate...Utazidi kuwa jingalao kama KUBWA JINGA
Yaani mnachunguza wakati mlisema matatizo ya watanzania mnayajuwa...!!!
Anyway baneni matumizi na ongezeni juhudi kwenye haya
1. Fungeni wote wa mishahara hewa
2. Halmashauri zenye hati chafu watieni ndani wote
3. Kamata wakwepa kodi wote
4. Futa misamaha ya kodi
Acheni watu watumie rasilimali ya viongozi waliokua nao kukirudisha chama madarakani.ni aibu kubwa sana chadema kufulia hadi kumtumia kingunge kwenye kampeni zake.Hii ni dalili tosha kuwa CCM imeishiwa pumzi na ipo katikati ya mlima na uwezo wa kubadili gia haupo huku dereva akiwa anapiga push up akidhani atainusuru na zahma inayoikabili.
Wagombea wao hawawezi kutumia chopa,maandalizi ya kuzombea watu yatakuwa finyu,Makofuli amepewa ushauri na daktari asijaribu kupandapanda chopa.
By the way Lowassa anashinda uchaguzi asubuhi asubuhi.