Elections 2015 Kinana aanza ziara ktk Majimbo 64. Magufuli aunda kikosi kazi... Mkapa, Kikwete nao wajipanga!

Elections 2015 Kinana aanza ziara ktk Majimbo 64. Magufuli aunda kikosi kazi... Mkapa, Kikwete nao wajipanga!

Dr Magufuli anafaa kuwa Rais wa awamu ya Tano wa Tanzania ni mkweli na mchapakazi
 
tupo pamoja sana! na mimi invisible fun of MAGUFULI nimeshatembea mikoa ya Mtwara, Pwani, Mwanza na Morogoro... nimeweza kushawishi na kuwabadilisha wafuasi 100 wa UKAWA kumpigia KURA YA NDIO MAGUFULI....na natumaini kila mmoja ataweza kushawishi wengine 5.... target yangu ni Kumpatia magufuli Kura 1000 + za ndio....
ukooo na Mimi kaka big up sanaa
 
tupo pamoja sana! na mimi invisible fun of MAGUFULI nimeshatembea mikoa ya Mtwara, Pwani, Mwanza na Morogoro... nimeweza kushawishi na kuwabadilisha wafuasi 100 wa UKAWA kumpigia KURA YA NDIO MAGUFULI....na natumaini kila mmoja ataweza kushawishi wengine 5.... target yangu ni Kumpatia magufuli Kura 1000 + za ndio....

Eeeeh invisible fun of Magufuli, ha ha ha ha haaaaaa!!
 
Kama wamefanya vema huko nyuma nguvu zote hizo za nini, na ma billion wanayotumia lengo ni nini?
 
Eeeeh invisible fun of Magufuli, ha ha ha ha haaaaaa!!

Tupo vizuri... Mnajua mambo tuliyoyafanya katika majimbo 208!!! CCM is back again where it belongs!! Thanks Comrade MAGUFULI for making us laughing again!!!
 
Huyo Vasco Da Gamma ndio ameshituka Baada yA kutumiwa mvua yA elnino na Sumaye?
 
ukooo na Mimi kaka big up sanaa

Mambo yanakwenda vizuri....ukiona hata Boda Boda na wengine waliokuwa base ya CHADEMA wameenza kushtuka... UKAWA wame panic na wameeanza kujiandaa na vurugu za kushindwa!
 
Kwa vile nyie ndio washika mpini kwa sasa hamtakiwi kutoa ahadi manatakiwa mtuambie mmetufanyia ni watanzania na mmeshindwa wapi na ni kwa nini.

Mtuambie vile viwanda vyoote vizuri na bora alivyo tuachia Nyerere nani aliyeviuza na kwa manufaa ya nani na waliohusika mmewachulia hatua gani tuambizane tu ukweli duniani hakuna nchi inayoweza kupiga hatua pasipokuwa na miundo mbinu ya uhakika na imara kama reli, na barabara bora na imara zinazounganisha mikoa na wilaya zote, pasipo na nishati bora na ya uhakika na pasipo na elimu bora na ya uhakika kama kweli mna hofu ya Mungu ile katiba yetu maoni tuliyotoa wananchi ili iwe nguzo yetu mbona mliifanyia ndivyo sivyo?

Tuombeane kheri tu wapendwa Mungu ndie hakimu wa yote Mungu ibariki Tanzania .
 
  • Thanks
Reactions: tim
milioni hamsini zipo-zimetoka wapi kwenye bajeti ipi? madawati hamjazungumzia madarasa yaani hiki chama cha matapeli wa kimataifa-naamini hamuamini kama watz wamebadilika na ni waelewa si kila mtu wa bumbuli
 
Kwani jana & leo Magufuli alikuwa wapi? Sioni picha wala habari, naomba taarifa.
 
Dkt. Magufuli amelipa jopo hili majukumu yafuatayo:

1. Kuchunguza na kupendekeza maeneo ambayo Serikali itabana matumizi, ikiwemo manunuzi ya umma, posho za vikao na matumizi ya magari, ili atoe maamuzi kuanzia siku ya kwanza atakapoapishwa;

2. Kuchunguza na kupendekeza maeneo ambayo Serikali itaongeza mapato mara moja bila hatua za kibajeti kuanzia siku ya kwanza atakapoapishwa;

3. Kuchunguza na kupendekeza maboresho makubwa katika mfumo wa utendaji na utumishi na ufanisi katika Serikali;

4. Kupitia kodi na ushuru wenye usumbufu kwa wafanyabiashara wa ngazi zote, wakulima, wafugaji na wavuvi iwapo unaweza kurekebishwa bila kuathiri bajeti ya Serikali inayotekelezwa sasa.

5. Kupitia sheria zote za nchi na kuorodhesha Sheria ambazo zinapaswa kubadilishwa haraka ili kuharakisha mabadiliko ya kweli na ya haraka ambayo ameyaahidi kwa Watanzania;

6. Kupitia na kuorodhesha masuala yote na kero zote zinazosubiri maamuzi ya Serikali ili atoe maamuzi kuanzia siku ya kwanza atakapoapishwa.

7. Kupendekeza miundo na idadi ya Wizara na kutengeneza rasimu za mikataba ya kazi kwa Mawaziri, Makatibu Wakuu na watendaji wengine wakuu atakaowateua mara baada ya kuapishwa.

8. Kupendekeza njia za haraka za kumaliza kero za watumishi wa umma, hasa walimu, askari, madaktari na wauguzi, ili aanze nao kazi wakiwa na ari na morali ya kusukuma mabadiliko ya kweli.

9. Kutengeneza rasimu ya mpango-kazi wa utekelezaji wa Ilani ya CCM na ahadi alizozitoa kwenye kampeni, hasa upatikanaji wa ajira kwa haraka na umeme wa uhakika;

10. Kupendekeza muundo wa kitaasisi na utaratibu muafaka wa kutekeleza ahadi ya kutoa shilingi milioni 50 kwa kila kijiji na mtaa nchini.

Dkt. Magufuli ameazimia kuanza kazi mara moja kwa bidii kubwa na maarifa mapya.


Imetolewa na:-

January Makamba
Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa
Mjumbe wa Kamati ya Kampeni
 
Nimuendelezo wa vituko hawezi shinda kwani hana mvuto kama chama chake na hata wewe unakubali hilo ndo mana heding ni Lowasa, ila habali inamuhusu magufuli. Why? tafakali tena?
 
Kubana matumizi: Hicho kikosikazi cha wataalam
Kiangalie uwezekano wa kupunguza MISHAHARA NA MALUPULUPU YA WABUNGE. Hili ni eneo ambalo pesa nyingi za walipakodi zinapotelea.
 
Back
Top Bottom