Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ukooo na Mimi kaka big up sanaatupo pamoja sana! na mimi invisible fun of MAGUFULI nimeshatembea mikoa ya Mtwara, Pwani, Mwanza na Morogoro... nimeweza kushawishi na kuwabadilisha wafuasi 100 wa UKAWA kumpigia KURA YA NDIO MAGUFULI....na natumaini kila mmoja ataweza kushawishi wengine 5.... target yangu ni Kumpatia magufuli Kura 1000 + za ndio....
tupo pamoja sana! na mimi invisible fun of MAGUFULI nimeshatembea mikoa ya Mtwara, Pwani, Mwanza na Morogoro... nimeweza kushawishi na kuwabadilisha wafuasi 100 wa UKAWA kumpigia KURA YA NDIO MAGUFULI....na natumaini kila mmoja ataweza kushawishi wengine 5.... target yangu ni Kumpatia magufuli Kura 1000 + za ndio....
Eeeeh invisible fun of Magufuli, ha ha ha ha haaaaaa!!
ukooo na Mimi kaka big up sanaa
Mkiwa Babati Mlisemaje kuhusu wagombea wanaotumia chopa?