Unless unamjua aliyekituma kinyangarika!.
Ukiwa na njaa ya siku tatu bila kula, bila kunywa, halafu akatokea mtu kukupa chakula, cha kwanza utakachofanya ni kushukuru, na picha zitapigwa na taarifa za aliyekutendea wema, zitaenezwa na atasifiwa kwa wema. Na baada ya kula kesho yake hukuamka. Taarifa ikatolewa umekufa kwa ugonjwa wa moyo. Yule aliyekupa kile chakula ataendelea kusifiwa kumbe kwenye kile chakula alikutilia sumu, it's only karma ndio itamhukumu.
Hivyo kwenye mazuri yanayoonekana machoni, tutaendelea kupongeza kusifu na kuimba nyimbo za mapambio. Kama kuna mabaya na maovu ya chini ya kapeti ikiwemo kuwatuma vinyangarika, we can't tell.
P